Kitwanga aingia tena NIDA kupitia Massawe

Tina

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2007
Posts
572
Reaction score
584
Kwa taarifa tu ni kwamba mteule mpya anayekaimu kuingoza NIDA, Andrew Wilson Massawe ni mshirika mwenza wa Charles Kitwanga, Mbunge wa Misungwi na Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani.

Katika kampuni ya Infosisy, ambayo iliwahi kufanya kazi na NIDA na kuibua mtafaruku mkubwa wakati Kitwanga akiwa waziri. Kwa sasa anaingia tena mtu ambaye ni mshirika mwenza wake.
 
Katika kampuni y Infosisy, ambayo iliwahi kufanya kazi na NIDA na kuibua mtafaruku mkubwa wakati Kitwanga akiwa waziri. Kwa sasa anaingia tena mtu ambaye ni mshirika mwenza wake.
Mada yako haina mashiko, na hujatoa ufafanuzi vipi Kitwanga anaingia Nida kwa jina la Massawe.
 
Kwa taarifa tu ni kwamba mteule mpya anayekaimu kuingoza NIDA, Andrew Wilson Massawe ni mshirika mwenza wa Charles Kitwanga, Mbunge wa Misungwi na Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani.

Katika kampuni ya Infosisy, ambayo iliwahi kufanya kazi na NIDA na kuibua mtafaruku mkubwa wakati Kitwanga akiwa waziri. Kwa sasa anaingia tena mtu ambaye ni mshirika mwenza wake.
Onesha memorundum iliipirishwa na BRELA tuone majina yao
 
Kumbe na wewe ni Msukuma!!

Wasukuma tunaojulikana humu ni mimi, Pasco na Nyani Ngabu!!
Japo sisi wengine tumebaki majina tuu na zile tabia nzuri za mapenzi tele na kupenda wengi, roho nzuri kupindukia ya kujitolea, na extravagance life ya ku spend hadi senti ya mwisho kwenye ile starehe, na baada ya hapo unalala njaa with no regret but with happiness ya masikini jeuri! .

Ila pia tulisahaulika sana!, kwani baada ya Citizen Number One & First Lady, inafuatia 1st Family then comes 1st Tribe! hivyo sasa tunapaswa kukamata tenders zote! .

Mimi kwangu nimeweka kibao "Ndugu wa Magufuli!", huwezi amini hata vibaka hawapiti tena, Dawasco hawakati maji tena, na umeme isingekuwa Luku, Tanesco nao wasinge leta bili!.

Pasco
 
Kwahiyo marafiki wa Kitwanga hawaitajiki kuajiriwa tena kokote katika nchi yetu?
 
Japo sisi wengine tumebaki majina tuu na zile tabia nzuri za mapenzi tele na kupenda wengi, roho nzuri kupindukia ya kujitolea, na extravagance life ya ku spend hadi senti ya mwisho kwenye ile starehe, na baada ya hapo unalala njaa with no regret but with happiness ya masikini jeuri! .

Ila pia tulisahaulika sana!, kwani baada ya Citizen Number One & First Lady, inafuatia 1st Family then comes 1st Tribe! hivyo sasa tunapaswa kukamata tenders zote! .

Mimi kwangu nimeweka kibao "Ndugu wa Magufuli!", huwezi amini hata vibaka hawapiti tena, Dawasco hawakati maji tena, na umeme isingekuwa Luku, Tanesco nao wasinge leta bili!.

Pasco
Hahaha...Natumaini hata kodi ni hivyo pia
 
Interesting......

Naona kuna watu wanam outsmart Magufuli kila mara

siku ile alipompeleka Maswi TRA nilishangaa sana
bahai yake akamtimua baada ya mwezi

now na hili sasa
 
Japo sisi wengine tumebaki majina tuu na zile tabia nzuri za mapenzi tele na kupenda wengi, roho nzuri kupindukia ya kujitolea, na extravagance life ya ku spend hadi senti ya mwisho kwenye ile starehe, na baada ya hapo unalala njaa with no regret but with happiness ya masikini jeuri! .

Ila pia tulisahaulika sana!, kwani baada ya Citizen Number One & First Lady, inafuatia 1st Family then comes 1st Tribe! hivyo sasa tunapaswa kukamata tenders zote! .

Mimi kwangu nimeweka kibao "Ndugu wa Magufuli!", huwezi amini hata vibaka hawapiti tena, Dawasco hawakati maji tena, na umeme isingekuwa Luku, Tanesco nao wasinge leta bili!.

Pasco

Leo umeamua kufunguka. Kweli mbio za sakafuni ,huishia ukingoni.
 
Kwa taarifa tu ni kwamba mteule mpya anayekaimu kuingoza NIDA, Andrew Wilson Massawe ni mshirika mwenza wa Charles Kitwanga, Mbunge wa Misungwi na Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani.

Katika kampuni ya Infosisy, ambayo iliwahi kufanya kazi na NIDA na kuibua mtafaruku mkubwa wakati Kitwanga akiwa waziri. Kwa sasa anaingia tena mtu ambaye ni mshirika mwenza wake.
Kitwanga sio waziri tena alishatumbuliwa licha ya ushikaji na JPM
 
Kwa taarifa tu ni kwamba mteule mpya anayekaimu kuingoza NIDA, Andrew Wilson Massawe ni mshirika mwenza wa Charles Kitwanga, Mbunge wa Misungwi na Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani.

Katika kampuni ya Infosisy, ambayo iliwahi kufanya kazi na NIDA na kuibua mtafaruku mkubwa wakati Kitwanga akiwa waziri. Kwa sasa anaingia tena mtu ambaye ni mshirika mwenza wake.

Toa ushahidi vinginevyo we shoga
 
Back
Top Bottom