Kituo Kipyaaaaa!

Kituo Kipyaaaaa!

MZIMU

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
4,058
Reaction score
1,377
attachment.php
 

Attachments

  • 1505197_817183945011000_3881129780037189563_n.jpg
    1505197_817183945011000_3881129780037189563_n.jpg
    32 KB · Views: 1,385
Kweli kituo kipya, nadhani ukifika hapo unakatiwa mkwanja. Lakini... Mimi niliiweka hii picha, haikuchukua muda ikaondolewa na mods...

Eehhe bwana weee! Usikute kuna kamgao na baadhi ya Mods wanahusika. Maana hua wanatuchagulia kwa Matakwa yao na maslahi yao nini tuweke na nini tusiweke. Wanajiona wajanjaaa! Kumbe hii social Media bila sisi haiwezi kuwepo. Kimsingi kuna Mods humu JF ni kichefuchefu tu. Nina wasiwasi hata vielimu vyao ni Just past STD VII.

Maana wapo full kitoto.
 
Kwa hii kanchi naonaga kashamba kabibi na mbuzi hula na usawa na kamba yake
 
Kuna kile kituo kingine kinaitwa SIMU2000 hivi ni wapi kwa hapa Dar
 
Back
Top Bottom