Kwa hiyo Mkuu Planet hiyo ya kupanga majora umeifanya kwa siku moja tu ukaikimbia
naomba nikushauri,nenda pale Mbezi Stend nje,jichanganye pale uwe kondakta wa magari madogo private au IT,huwa zinasimama pale kula vichwa,ukiwa sharp hukosi 20,000 kwa siku
Sent from my Infinix X650 using
JamiiForums mobile app