master hassan
Member
- Feb 26, 2017
- 58
- 18
Mimi ni kijana mweye umri wa miaka 21 nilipata bahati ya kufaulu mtihani wa la 7 ila sikuweza kwenda kuripoti shuleni kwa sababu ya usawa ulikaba.
Sasa niko tayari kurudi shule nataka kusoma QT nahitaji unitajie kituo ambacho kinaweza kunisaidia katika masomo na muda wa masomo uwe kuanzia saa 6 mchana na kuendelea. NIKO MBAGALA KONGOWE