Eneo kinapotarajiwa kujengwa ni palepale Bondeni City ambapo pembeni yake kutakuwa na mji wa kisasa (satellite city)
Kwa mgeni wa jiji la Arusha, eneo la bondeni lipo barabara inayoelekea kwenye kambi ya kufunza vijana (JKT Oljoro) kutoka kwa mromboo ni takribani 8km.
Kwa taarifa za awali ni kuwa kituo hicho kinaanza kujengwa kuanzia mwezi wa kwanza (January) ambapo tayari vifaa vya ujenzi vya mkandarasi vipo njiani.
Hizi blah blah za ujenzi wa stand ya mabasi ya Arusha nimezikisikia tangu 2016 na kila mwaka wanatangaza kinakwenda kikamilika.
Hivi mpaka leo hii bado hakijakamilika?