Jum Records
JF-Expert Member
- Jun 30, 2014
- 547
- 551
Habari zenu wakuu,
Mimi ni mtazamaji mzuri wa kituo cha ITV, hususani taarifa ya habari ya saa 2 usiku. Ila hakuna kipengele kinachonikera katika habari za ITV kama kipengele cha "swali la kipima joto"
Utakuta wanauliza maswali kama watoto wadogo yani maswali hayana ubunifu, yanaboa sana yani kupitiliza, naombeni mbadilike muulize maswali yenye changamoto chanya, kuweni wabunifu.