Kuna Warusi weusi watakuja kukanusha hii habari.Ukraine hii sasa sifa jamani, mpaka kituo cha usajili jeshini kinatiwa kiberiti.
Uenda hata si Ukraine bali warusi wenyewe.Kuna watu ndani ya Urusi hawakubaliani na upumbavu wa Putin na genge lake. Ile nchi kwasasa inaweza ongoza kwa wajane wengi na wanahasira sema wamenyamazishwa na mkono wa chuma.Ukraine hii sasa sifa jamani, mpaka kituo cha usajili jeshini kinatiwa kiberiti.
Sio hapo ata France poa kuna maandamano kweli watu hawakubaliani na gharama za maisha kuwa juu ila askari wanawagonga kweli kuwa waendelee kukomaa huku wakifanya kila namna vyombo vya hanar visiwe vinareportUenda hata si Ukraine bali warusi wenyewe.Kuna watu ndani ya Urusi hawakubaliani na upumbavu wa Putin na genge lake. Ile nchi kwasasa inaweza ongoza kwa wajane wengi na wanahasira sema wamenyamazishwa na mkono wa chuma.
Uenda hata si Ukraine bali warusi wenyewe.Kuna watu ndani ya Urusi hawakubaliani na upumbavu wa Putin na genge lake. Ile nchi kwasasa inaweza ongoza kwa wajane wengi na wanahasira sema wamenyamazishwa na mkono wa chuma.
Putin kaamua kwa makusudi kabisa kuwapeleka machinjioni watoto wa mother Russia 🥱Ndio kiliwatokea Warusi kwenye vita vya pili vya dunia, wanaume waliisha sana na kuacha wajane wengi, ilichukua muda mrefu kurejesha idadi ya wanaume, historia inajirudia.
Sio hapo ata France poa kuna maandamano kweli watu hawakubaliani na gharama za maisha kuwa juu ila askari wanawagonga kweli kuwa waendelee kukomaa huku wakifanya kila namna vyombo vya hanar visiwe vinareport
warusi wa ManzeseKuna Warusi weusi watakuja kukanusha hii habari.
Putin kaiharibu hadhi na heshima ya Urusi...Uenda hata si Ukraine bali warusi wenyewe.Kuna watu ndani ya Urusi hawakubaliani na upumbavu wa Putin na genge lake. Ile nchi kwasasa inaweza ongoza kwa wajane wengi na wanahasira sema wamenyamazishwa na mkono wa chuma.
Sio hapo ata France poa kuna maandamano kweli watu hawakubaliani na gharama za maisha kuwa juu ila askari wanawagonga kweli kuwa waendelee kukomaa huku wakifanya kila namna vyombo vya hanar visiwe vinareport