..Mwenyewe naona wanakatika katika Kweli,..Hivi hiki kituo cha TBC TV inastahili kuendelea kuwa kituo cha Taifa kweli??
Yaani wanashindwa kuonyesha tukio la Mei mosi mkoani Kilimanjaro?
Naangamia hapa kila baada ya sekunde inakatika na kuweka vitu vingine.
Hivi hiki kituo cha TBC TV inastahili kuendelea kuwa kituo cha Taifa kweli??
Yaani wanashindwa kuonyesha tukio la Mei mosi mkoani Kilimanjaro?
Naangamia hapa kila baada ya sekunde inakatika na kuweka vitu vingine.
Bora inyeshe neema hiyo najua mpaka kuisha mvua mkutano wa wa chama utakua umeisha.Hilo tatizo sio tbc tu
Ni tv zote zilizo mubashara huko
Kama azam, itv
Nadhani ni kutokana na mvua kubwa inayonyesha Moshi leo
Hali ya hewa ni mbaya sana leo,usiwe unapenda tu kulaumuHivi hiki kituo cha TBC TV inastahili kuendelea kuwa kituo cha Taifa kweli??
Yaani wanashindwa kuonyesha tukio la Mei mosi mkoani Kilimanjaro?
Naangamia hapa kila baada ya sekunde inakatika na kuweka vitu vingine.
Kwan TV1 wanarusha Mei Mosi kutokea kilimanjaro?Hali ya hewa mbaya kwa TBC!!!!
hebu angalia TV 1 uone ubora wa matangazo. Hivi BBC wanaweza singizia hali ya hewa kwenye vituo vyao?? Hebu tuache kutetea ujinga bwana..
Hapa ndipo ninapo sema tunajitoa ufahamu kutetea ujinga.Kwan TV1 wanarusha Mei Mosi kutokea kilimanjaro?
Halafu mkiishiwa hoja mnasingizia BBC.MAREKANI,ULAYA
Hivi TBC unaweza kuilinganisha na BBC?
Kwa kawaida satellite ikinusa radi ina jam,na mkoa wa kilimanjaro kijiografia kuna radi nyingi
wenzetu BBC wanaweza kurusha picha kwa kutumia vyombo hata vitatu,kimoja kiki jam,kingine kinarusha ndani ya nukta moja