Black Opal
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 304
- 543
Wananchi wamepita na kituo cha polisi Tabata Relini, mabomu yanarindima huko hadi maeneo ya Buguruni.
Harakati za kufika Ikulu zinaendelea. Leo polisi wamejua Watanzania sio waoga! Upole haimaanishi mtu hawezi kukurarua.
Mtu anakuwa anakulia timing tu, akichoka utajua ujui. Polisi hawakutegemea hiki kilichofanyika leo.
Harakati zinaendelea.