sio siasa wewe mburula mbona hujiulizi kwann mwaka huu karibu na uchaguzi ndo hali imezd kua ngumu. muulize hayawani mwenzio ifweero
Kwa taarifa nilizozipata kutoka kwa source yangu ni bunduki 16 zilizoporwa.....
watanzania tunauana wenyewe tofauti na wenzetu
Mtu akisema wewe pia ni jambazi atakuwa amekosea? Acha roho ya kinyama ndugu, siku yakiikuta familia yako ndo utaelewa ubaya wa jambo hili. Kifupi amani inatoweka kama jua linavyosogea taratibu mpaka linazama. Hakuna aliye salama. Na ujue sababu mojawapo ya amani ya nchi pamoja na uzalendo ila pia ni udhibiti wa raia kumiliki silaha za moto, sasa ikiwa wanazifuata kwa nguvu silaha hizo, tena mahali penye watu wenye silaha ujue hakuna aliye salama tena. Zikishakuwa nyingi mikononi mwa wahalifu ndio uasi wa nchi unaanza, unakuwa backed na mataifa makubwa basi tena story inakuwa political instability na wanachukua almasi na dhahabu bila shida wakati wenye nchi wanauana tu. Tafakari.
achana na huyo kilaza Mingoi, anajifanya hajui ccm wapiga deal ndiyo wametufikisha hapa!we unadhani wangefanyaje? watu wanasaka maisha hata kwa kuua,ccm imetufikisha hapa tulipo.
una experience ya kulawitiwa wewe bila shaka umezoea hako katabia.
acha siasa kwenye mambo ya msingi.
Ni kweli mkuu.hapo Buombe (shirombo) kuna askari aliwahi kutuhumiwa kushirikiana na majambazi miaka ya 2000 kuja mpaka 2005 tena alikuwamubwa kwenye hicho kituo lakini sasa hi i amepandishwa cheo ni s/o kwenye mkoa mmoja unaopakana na nchi jirani.
Kuna minong'ono imeanza baada ya hilo tukio tusubiri tuone mwishowake.