Kituo cha Polisi chavamiwa na kuchomwa moto Morogoro

Inasikitisha kuona wananchi wanakosa elimu ya uraia! Hivi hao hao raia wakipatwa na tatizo mfano kuibiwa mali wataenda wapi? Kosa Mali lakini usikosa Akili
 
Sasa watu mia, 200 wamechoma kituo; je, polisi wakichokoza mafuriko ya ukawa itakuwaje?
 
Mwanamke wa umri wa miaka 21 .Veronica.,ameuawa kwa kukatwa mapanga na mumewe kwa wivu wa kimapenzi. Kituo. cha polisi kimevamiwa. Badala ya polisi kugombana na muuaji,wanagombana na wanakijiji as if yalitokea matatizo baada ya kuku kuibiwa. Sasa watu 11 wapo mbaroni.
 
The main causer of almost all social instabilities in this country is the so called PF. Busara kidogo tu ingeepusha matatizo yaliyoytokea. Lakini kwa kuwa wanaamini wao ndio wenye nchi na hakuna wa kuwafanya kitu ndio hayo tunayoyashuhudia.
 
Sasa si wammalize huyo jamaa huko ndani? Wamvute korodani kimya kimya! Labda kama hawatakutana nae! Ila Polisi sijui wanadanyaje kazi aiseee! Wanatumia nguvu kuliko akili
 
Andrew Nyerere muambie mdogo wako Makongoro aache kumtukana Lowasa.. Kama ni afya hata Makongoro sio mzima ndio maana anakohoa kila mara..
 
Mwanamke wa umri wa miaka 21 .Veronica.,ameuawa kwa kukatwa mapanga na mumewe kwa wivu wa kimapenzi. Kituo. cha polisi kimevamiwa. Badala ya polisi kugombana na muuaji,wanagombana na wanakijiji as if yalitokea matatizo baada ya kuku kuibiwa. Sasa watu 11 wapo mbaroni.

Mkapa katwambia ukweli, watz ni wapumbavu na malofa! wapumbavu na malofa wanataka nchi yao!
 
Mwanamke wa umri wa miaka 21 .Veronica.,ameuawa kwa kukatwa mapanga na mumewe kwa wivu wa kimapenzi. Kituo. cha polisi kimevamiwa. Badala ya polisi kugombana na muuaji,wanagombana na wanakijiji as if yalitokea matatizo baada ya kuku kuibiwa. Sasa watu 11 wapo mbaroni.

Umeisoma Post ya Laki Si Pesa????
 
Andrew Nyerere muambie mdogo wako Makongoro aache kumtukana Lowasa.. Kama ni afya hata Makongoro sio mzima ndio maana anakohoa kila mara..
msg nimeituma lakini simu haina pesa. Nitaituma tena baadaye within the half hour.msg.nimeshaituma kwa Makongoro.. Anasema anashukuru kwa kuipata hiyo msg.
 
Wewe unaleta smart alec behavior unaposema hukunielewa. Kwa vile what I wrote was too clever
Mimi Nina sababu gani ya kuwa clever. Imeandikwa katika Mahabharata katika Shanti Parva kwamba when Brahma wakes up from His sleep he modifies His indestructible chit by overlaying it with avidya.. Chit ni akili na avidya ni ignorance. With avidya He creates the universe. Kwa hiyo likewise Mimi nikiamka ,I modify my chit by overlaying it with avidya. Nikiamka nadhamiria kuwa mpumbavu na lofa. Hiyo ni account of how Brahma(. The . Creator) wakes up. I will tell you later how He goes to sleep.
 
Back
Top Bottom