Kituo cha Polisi cha Mugumu chavamiwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kituo cha Polisi cha Mugumu chavamiwa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Masanilo, May 30, 2011.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Taarifa zilizotufikia punde zinasema kuwa wananchi wenye hasira wakiwa na silaha za jadi, wamevamia kituo cha polisi mjini Mugumu wakishinikiza kuwahukumu watuhumiwa wa mauaji. Kweli hawa Wakurya hawana imani na polisi. Mh Vuai ameligusia hili kupitia taarifa ya habari ya ITV. Je wananchi kujichukulia sheria mikononi ni matokeo ya wananchi kutokuwa na imani na CCM

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  Source: Mdau -Mugumu
   
 2. z

  zamlock JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  sijakupata vizuri mkuu fafanua tukupate mkuu usilete habar nusunusu hapa itakuwa ngumu kukuelewa
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Soma taratibu ukiwa umerelax! Kituo cha polisi Mugumu kimevamiwa na wananchi wanawadai watu waliohusika na mauwaji ya raia walikuwa mahabusu wawaadhibu wao. Picha zifatilie!!
   
 4. z

  zamlock JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  sasa hapo nimekupata kumbe wanawataka wahalifu waliofanya mauaji, hapo sawa hatari hyo
   
 5. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,960
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  Tukio limetokea saa ngapi? Unaripoti usiku na picha za mchana. How come?
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ingekuwa usiku picha ingekuwa taabu kuzipata! Tukio ni Leo mchana baada ya watuhumiwa kuwekwa rumande!
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,516
  Likes Received: 19,940
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  NAONA MHALIFU AMEVAA T-SHIRT LIMEANDIKWA CUF, MAMBO YA NGANGALI NINI HAYA
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Jamaa balaa huenda ni damu Tshirt ilikuwa nyeupe
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,516
  Likes Received: 19,940
  Trophy Points: 280
  duh!! Bangi zingine bana balaa tupu! Jaribu kushirikisha ubongo wako na macho
   
 10. J

  JikeDume Member

  #10
  May 30, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huko nimepata taarifa kuwa wananchi 2 wameuwawa na polisi tena kwa vurugu hizo.
   
 11. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #11
  May 30, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280

  Teh teh teh teh
  Hizo mishale zinanikumbusha kipindi cha dulilo na kotoreja pia kutemya.
   
 12. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Hapo utakuata raia wamechoka kila watuhumiwa wakifikishwa Polisi kesho wanaonga wanaachiwa
   
 13. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Hivi Mkuu huyu mwanye rungu ni Polisi au raia?! kama ni Polisi ina maana nao wanatumia marungu kama hayo siku hizi!
   
 14. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  du kazi ipo
   
 15. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #15
  May 31, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,973
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Polisi tena ??? JK asipoangalia nchi itamporomokea mikononi mwake.
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  May 31, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hiyo ni polisi geshi Mura! Iko narirungu...
   
 17. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #17
  May 31, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Basi kuna wanasihasa fulani watanunua hiyo kesi wanapenda kweli kuseek attation kwa gharama yoyote kaaazi kweli kweli
   
 18. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #18
  May 31, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Attation! Una maana gani!?
   
 19. S

  Shidoto Member

  #19
  May 31, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama itasaidia wainunue tu hiyo kesi, maana tunakoelekea amani inatoweka, wainunue ili wasaidie wananchi serikali na vyombo vyake vinaelekea kushindwa (Mkama na Nape waisimamie).
   
 20. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #20
  May 31, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Duuuh Mrembo hiyo "attation" ndo nini???
   
Loading...