King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,374
- 99,166
Yeah. Nimeyaona pale mbele kidogo ya rangi tatu ukishusha tu ule mlima kama unaelekea South.
Mkuu Mkeshaji, rekebisha kidogo kauli, kwa vile ni eneo la Mbagala, then ni kama unaelekea Kusini na sio South!. Uiisema south watu tutadhania bondeni!.Yeah. Nimeyaona pale mbele kidogo ya rangi tatu ukishusha tu ule mlima kama unaelekea South.
Isitoke sii mchezo!. Unafanya masikhara na dola bilioni 1.2!.Penye uzia penyeza Rupia!. Wale vilimilimi wamepigwa trip Singapore na kufanyiwa shopping ya nguvu!.Kwa jinsi walivyowekeza lazima itoke cc: Pasco wa JF.
Hahhahha. Pasco you made my day.silo
Mkuu Mkeshaji, rekebisha kidogo kauli, kwa vile ni eneo la Mbagala, then ni kama unaelekea Kusini na sio South!. Uiisema south watu tutadhania bondeni!.
Au eneo hilo kama lingekuwa Maiko chein, au Oyster Bay, then South ingependezea!.kama ilivyo kwa Mbezi Beach, Oysters Bay beach, Pwani ya Temeke au bahari ya Mtoni Kijichi, au Pwani ya Mbagala na sio Mbagala beach !.. Wakiamua kuiita M-Bagla Beach, au TMK beach angalau itaendana!.