Halafu siku hizi hakuna bawacha hata mmoja mwenye adabu make hata wewe umekuwa mbugila kabisa.Hawa wahuni waondoke madarakani tu huu uhuni umetosha
Halafu siku hizi hakuna bawacha hata mmoja mwenye adabu make hata wewe umekuwa mbugila kabisa.
kabla jogoo hajawika nimkute masaburi na wale wote waliohujumu kituo hicho sero , hii haivumiliki .Viongozi wa ccm kwa kukurupuka.
Wajinga kweli kwa nini sasa walibomoa kabla hicho kingine hakijajengwa,ndo zao hawa tumewachoka,waliuza nyumba za serikali,leo watumishi wa umma wanaishi guest houses.
Mawazo yangu tu....kituo kibinafsishwe kwa mwekezaji wa ki Tanzania mwenye taaluma ya usafirishaji.Awe na uwezo wa kukijenga na kukiendesha..Taboa kama wamejipanga wanastahili kupewa nafasi ya kwanza,Scandanavia express,kilimanjaro bus,azam hao wafikiriwe kama Taboa hawatakuwa tayari.
Hizo hasara nani atalipa? Maccm haiki hakuna yamekaa kimasaburi saburi tu