Bond James
Member
- Nov 25, 2010
- 54
- 7
nchi ambayo sheria zipo vitabuni.
Mkuu, ile misikiti ni midogo kwa ajili ya wafanyakazi wa petrol station......... Of-course wanakuwa wa dini hiyohiyo.Mbona asilimia 90 ya vituo vya mafuta vina misikiti? Au huko watu wanaabudu kiumbe!
Mkuu yule jamaa mwenye kituo cha victoria ni mkiristo.na wakristo siku ya jumapili hawafanyi kazi.so pale ghorofani ambapo ndo kanisa lilipo ametoa kama sadaka kwa mch.Huruma Nkone. Lile kanisa linaitwa VICTORIA CHRISTIAN CENTRE ambapo yule mwenye kituo cha mafuta ni muumin wake. Lile kanisa ni la kujiegesha kwa mda kwani kwa sasa kuna kanisa kubwa wanajenga kule KAWE. Nafikili likishakamilika watahamia.isiwe tabu. Mia
Unayoyasema yanawezaa kuwa kweli lakini pale tunatunza janga. watu wanaweza kuwa wanasali kwenye ghorofa lakini ukipta jumapili utaona kwua ile station yote inageuzwa kuwa parking lot. Nadhani kuna janga linasubiri kutokea pale. kama wanaandaa kanisa ni vema wakatafuta mahali salama kwa ajili ya kufanyia ibada kwa muda wakati wanasubiri kanisa lao likamilikeMkuu yule jamaa mwenye kituo cha victoria ni mkiristo.na wakristo siku ya jumapili hawafanyi kazi.so pale ghorofani ambapo ndo kanisa lilipo ametoa kama sadaka kwa mch.Huruma Nkone. Lile kanisa linaitwa VICTORIA CHRISTIAN CENTRE ambapo yule mwenye kituo cha mafuta ni muumin wake. Lile kanisa ni la kujiegesha kwa mda kwani kwa sasa kuna kanisa kubwa wanajenga kule KAWE. Nafikili likishakamilika watahamia.isiwe tabu. Mia
Kuweka kanisa na Kituo cha mafuta sehemu moja ni hatari. Ila serikali yetu hai-enforce utawala wa sheria.
Also kwenye fuel station nyingi ambazo wamiliki wake ni waislamu zinakuwa na sehemu ya kuswalia ambayo mtu yeyote anaweza kupark na kuswali, sema huwa hazina uwezo wa kuchukua watu wengi kwa wakati mmoja kama ilivyo pale victoria.
wanaabudu 'Mwenyezi Mungu Mmoja' kwa siku mara 5, Yeye hakuzaa wala hakuzaliwa na hafanani na chochote ! Hasinzii wala hashikwi na njaa wala hafikwi na mauti. Analolitaka huliambia 'Kuwa! ........ na linakuwa'Mbona asilimia 90 ya vituo vya mafuta vina misikiti? Au huko watu wanaabudu kiumbe!
Mkuu, ile misikiti ni midogo kwa ajili ya wafanyakazi wa petrol station......... Of-course wanakuwa wa dini hiyohiyo.
Hili la pale Victoria ni kwamba, kuna kanisa.......inawezekana halijasajiliwa au hawajasema makao yao ni pale, lakini habari ndo hiyo.
Usitegemee cha maana kwenye serikali legelege!!
Mbona asilimia 90 ya vituo vya mafuta vina misikiti? Au huko watu wanaabudu kiumbe!
Mbona asilimia 90 ya vituo vya mafuta vina misikiti? Au huko watu wanaabudu kiumbe!