A Arusha Leo Senior Member Joined Mar 12, 2012 Posts 120 Reaction score 72 Mar 16, 2014 #1 Vituo vya kuupigia kura kama zizi la mbuzi,lhis mmenyesha wasimamizi n'a mawakala wametimka,vinavuja kama mwembe. Attachments IMAG0138.jpg 504.2 KB · Views: 951
Vituo vya kuupigia kura kama zizi la mbuzi,lhis mmenyesha wasimamizi n'a mawakala wametimka,vinavuja kama mwembe.
Dengue JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 2,050 Reaction score 1,470 Mar 16, 2014 #2 Loo aibu.
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,828 Reaction score 12,321 Mar 16, 2014 #3 Hiyo nayo ni mbinu ya kuiba kura. Wakitimka tu wao huongeza makaratasi yao.
P Percival JF-Expert Member Joined Mar 23, 2010 Posts 4,014 Reaction score 3,110 Mar 16, 2014 #4 democracy in action
okaoni JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 1,471 Reaction score 1,308 Mar 16, 2014 #5 Transparency
F fikirikwanza JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 7,452 Reaction score 3,073 Mar 16, 2014 #6 CCM bwana kweli miaka 53 kituo cha kupiga kura ndo hicho???
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Mar 17, 2014 #7 Ingekuwa kule kwa kina Chacha na Marwa kingebomolewa mara moja!