RAHA KAMILI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 203
- 83
Watoto Wanaoishi kwenye Kituo cha Jango zaidi Orphanage sinza jijini Dar es salaam wakiwa Katika Picha ya Pamoa leo walipotembelewa na Wadau waliosoma Pamoja Shule ya Sekondari Bwawani.
Baadhi ya Vitu mbalimbali vilivyotolewa.
Wadau waliosoma Shule ya Sekondari Bwawani wakiwa kwenye Picha ya Pamoja na Mama Mlezi wa Kituo cha Watoto Yatima cha Jango Zaida Orphanage centre walipokitembelea kituo hicho na Kutoa Msaada ya Vitu MBalimbali kwajili ya Kusaidia Kutatua Changamoto Mbalimbali zinazokikabili kituo hicho.
Picha ya Pamoja na watoto wanaoishi katika Kituo Hicho