Mpaka sasa ITV ndiyo super brand kwa east and central africa wengine wote wababaishaji tuuHabari zenu wakuu,
Hii Chanel ya ITV inakuwaga na utaratibu wa kurusha matangazo kutoka katika vyombo vya habari vya kimataifa Kama Aljazeera na DW.
Na katika habari kuu za leeo za Aljazeera mojawapo ilikuwa Kuhusu Tanzania na Corona. Cha kushangaza habari zingine zikarushwa lakini ilipofika Ile habari ya Tanzania wakakatisha habari ya Aljazeera na kuweka matangazo ya Isidingo halafu wakarudisha Tena Aljazeera baada ya Ile habari ya Tanzania kupita.
Kweli ITV mmefikia kiwango cha kuwa waoga namna hii kukataa raia wasione vyombo vya nje vinavyoizungumzia Tanzania?
Joyce Mhavile, Mkurugenzi wa ITV radio one angalia hili mama. Mnapoteza uaminifu na mvuto wenu kwa Watanzania.
Sikuhama channel niliangalia matangazo Hadi waliporudisha AljazeeraUlijuaje kama waliendelea na matangazo wakati ulihama channel? Je kama ulivyohama nao wakarudi na ulivyorudi wakaweka tangazo?
Halafu Zitto ni nani hapa Tanzania? Acha kusikiliza wambea
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliekwambia kureport habari mbaya za Tz kwangu Ni Furaha Nani??? Nifurahie Matatizo ya Tanzania kwani me Naishi Mbinguni, itakapoumia Tanzania Mimi Kama mwananchi nitaathirika kwa namna moja ama nyingine.Kwa hiyo wakireport Jambo baya la Tanzania kwako nifuraha?
Hao wapuuzi kabisa siku walikatisha matangazo ya BBC ilipokuwa inaongelea namna tulivyodanganya kuhusu vipimo fekiITV bana, walikuwa wanejiunga na Al Jazeera saw sita mchana, Sasa Aljazeera walipokuwa wakitangaza habari za Tanzania kuhusu Corona, nikashangaa ITV wakakatiza na kuweka matangazo Hadi habari ile ikaisha kisha wakarudi Tena Aljazeera ikaendelea
Nikadhani kwanza ni coincidence tu, Ila baadae Al Jazeera walipokuwa wakitangaza habari kwa kifupi walipofikia sehemu ya Tz wakakatisha tena
Huu ni ushamba wa hali ya juu sana, yaani karne hii ya mawasiliano Kila mahali nyie mnaziba habari kijinga hivyo?
Yote ni ili kumfurahisha kiongozi ajae wa malaika huko mbinguni.ITV bana, walikuwa wanejiunga na Al Jazeera saw sita mchana, Sasa Aljazeera walipokuwa wakitangaza habari za Tanzania kuhusu Corona, nikashangaa ITV wakakatiza na kuweka matangazo Hadi habari ile ikaisha kisha wakarudi Tena Aljazeera ikaendelea
Nikadhani kwanza ni coincidence tu, Ila baadae Al Jazeera walipokuwa wakitangaza habari kwa kifupi walipofikia sehemu ya Tz wakakatisha tena
Huu ni ushamba wa hali ya juu sana, yaani karne hii ya mawasiliano Kila mahali nyie mnaziba habari kijinga hivyo?
Wewe mjanja unaengozwa na mshamba huoni ni mshamba zaidi ya yule anaekuongoza!Watu Wa kanda ya nyonyo hawatakiwi kupewa nchi, wana ushamba mwingi wizi ubabe, utendaji zero, exposures zero.
Mnatakiwa mjifunze.
Hata Hitler so aliongoza watu?Wewe mjanja unaengozwa na mshamba huoni ni mshamba zaidi ya yule anaekuongoza!
Wewe mwenye exposure, mjanja unamwongoza nani zaidi ya familia yako?!
Mjanja ukikubali kuongozwa na mshamba ujue wewe ndio bonge la shamba!
Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
Dawa ni kuwaripoti kwa hao (international TV's) waounganishwa nao ili wapigwe chiniHabari zenu wakuu,