Wakuu kuna ndugu yangu anaulizia kituo cha kufundisha watoto hawa wenye matatizo ya kusikia na kuongea cha private hapa Dar aul bara
Njombe viziwiWakuu kuna ndugu yangu anaulizia kituo cha kufundisha watoto hawa wenye matatizo ya kusikia na kuongea cha private hapa Dar aul bara
Ww wataka kituo cha bording au private? Na huyo mtto ako ana umri gan? Jibu nikuelekeze cha kufanya.Mkuu cha buguruni nakijua Ila ni cha serekali nilihitaji cha private ambacho ni cha boarding mkuu