Kawalamba sana wake za watu! AkiwasokomekaKilichomponza DR mwaka hiki hapa => alikuwa ameanza tabia za kuwavuta nguo zote Wanawake kisha kuwachungulia sehemu za Siri kwa kisingizio kuwa anachunguza maradhi na kupitisha vipimo kujua yaliyomo ndani, inasemekana mmojawapo ni mke wa kigogo na baadhi ya Wanawake wajanja wa mjini wengi kawafanyia huo Udhalilishaji ndiyo maana kigwangala kaamua kuzaa naye.
Nazidi ishangaa tanzania kwakweli mizizi ya kichina tunaitumia mizengwe ya loliondo tunaikubali ila dawa za mwaka hazijasajiliwa waache utani hawa jamaa mwaka hawez kuwa hajasajiliwa unless watuambie alisajiliwa bila vigezo ila naona personal interest hapa
Waziri aje kutatua matatizo hku mikoani hospital kibao xray na ultrasound hazifanyi kazi...wafanyakazi hawapati staili zao ukidai unazungushwa tu na mikoani ndo kuna uozo bora hko dasalama...hku ela unayo bt huduma hupati unadhan tutaacha kuwatafuta kina mwaka?
Kawalamba sana wake za watu! Akiwasokomeka
Kwanza mjini wake dah jamaa hafai
Nasikia hana taaluma ya u Dr.
Ni ujanja ujanja tu
Binafsi mkewangu anaendelea vizuri baada ya kutumia dawa za huyu bwana.ila pesa yake ndefu.dozi mimi nimenunua 250000
Baada ya kuhangaika nae sana wife tukaenda akapimwa kipimo elfu 30 kadi 10 namshukuru mola wife anaendea vizuri kiukweli
Mkuu wana bifu lao binafsi baada ya Dr mwaka kumchungulia mkewe pindi alipoenda kutibiwa pale, ni kweli madaktari wengi wana hiyo Tabia ya kuwavua nguo za ndani Wanawake kisha kujidai wanawapima kumbe wanawadhalilisha tu hilo Tatizo hata Masana Hospital, TMJ mpaka Muhimbili, ni bora Kigwangala angeweka wazi kuwa Wizara ya Afya inapiga marufuku Madaktari kuwavua ngua wagonjwa kwa kisingizio cha kuwapima ugumba na magonjwa ya zinaa.
Duh ndomana mange kimambi alilialia sana! Maana washikaji zake wamelambwa sanaNi kweli mkuu mastaa wengi wa jijini wamepewa dozi za kiutuuzima sana hadi akapitiliza kwa familia za vigogo ndiyo maana kimenuka.
Duh ndomana mange kimambi alilialia sana! Maana washikaji zake wamelambwa sana
Nazidi ishangaa tanzania kwakweli mizizi ya kichina tunaitumia mizengwe ya loliondo tunaikubali ila dawa za mwaka hazijasajiliwa waache utani hawa jamaa mwaka hawez kuwa hajasajiliwa unless watuambie alisajiliwa bila vigezo ila naona personal interest hapa
Waziri aje kutatua matatizo hku mikoani hospital kibao xray na ultrasound hazifanyi kazi...wafanyakazi hawapati staili zao ukidai unazungushwa tu na mikoani ndo kuna uozo bora hko dasalama...hku ela unayo bt huduma hupati unadhan tutaacha kuwatafuta kina mwaka?
Mkuu mwambie dr mwaka akupe refferal uende loliondo kwa grand katmiza vgezo usiogope
Kwahiyo PV watafanyiwa puani..au mdomon..acha kuongea usichokijua km mkeo hutaki apimwe na mtu kampime mwenyewe