Mwenye kituo ameachwa au ameenda kunyea debe?:Serikali inatakiwa imchukue na mmiliki imtie ndani maana wanachezea sana afya za watu. Madawa yao ni ghali, na hayatibu chochote! Heko wizara ya afya
waache wayafungie hayo madokta . Kazi kuwalandua wagonjwa kwa bei za kufa mtu ! Madawa yenywe hayatibu chochote !Wizara ya Afya imekifunga kwa mda usiojulikana kituo cha Fore plan Clinic kilichopo ilala Bungoni. Kituo hiki kinamilikiwa na Dr J.J Mwaka mtaalam wa magonjwa ya kinamama akitibu kwa kutumia tiba mbadala.
Wizara imesema kituo hakijatimiza vigezo na masharti yanayotakiwa na serikali ikiwemo kutokuwa na wataalam wenye sifa na elimu stahiki.
Dr J.J Mwaka amekuwa akionyesha kazi nzuri za kituo chake kwenye vyombo vya habari ikiwemo kutibu ugumba na upungufu wa nguvu za aina mbalimbali.
Watu wengi wamekua wakifurahia sana tiba hii mbadala itolewayo na Dr Mwaka na mpaka kituo kinafungwa wagonjwa wengi walikua wakisubilia huduma.
walewale madokta wa kisabato walinipa dawa niliharisha siwezi sahau!
Wenye ushahidi wa msaada wa hii clinic na dawa zake wautoe.
Binafsi mkewangu anaendelea vizuri baada ya kutumia dawa za huyu bwana.ila pesa yake ndefu.dozi mimi nimenunua 250000
Baada ya kuhangaika nae sana wife tukaenda akapimwa kipimo elfu 30 kadi 10 namshukuru mola wife anaendea vizuri kiukweli
Wenye ushahidi wa msaada wa hii clinic na dawa zake wautoe.
dozi nilimnunulia mkewangu 250000 kunakauafazari kidogo baada ya kutumia dawa hizi