Ahajjajaajaj unaambiwa maneno ya mkosaji.. Science ndo engeneering yenyewe
instagramboy ni mtu wa kukandia sana utumishi. ila leo naona ume wadeffend. jamaa mtoa mada kabugi.
Ushauri wa bure kwako,tafadhali wasiliana na Tanzania Building Agency(namba zao zipo kwenye website yao).
Tatizo letu ni kwanini mtu kasoma environmental science apate ajira kama environmental engineer, Robert alexander na mgeta makilas wamesoma environmental science SUA na ARU. Je ni kweli environmental science anaweza kufanya kazi za environmental engineer. Na tangu lini Environmental Science akasajiliwa na bodi ya Maengineer(ERB), na tangu lini sciencist akaruhusiwa kufanya kazi za ujenzi.Kwanini kama wanataka environmental science wasitangaze nafasi kama environmental officer. Nadhani tunakoenda siko kama mtu kasoma environmental science anaajiriwa kama environmental engineer. Nadhani wadau mnaweza kuangalia haya majina kwenye mtandao wamesoma wapi na course gani. Huu usaili umefanywa na utumishi kwa niaba ya Tanzania Building Agency.
Nanusa harafu ya wivu tu hapa
Tofauti hipo, ndio maana ikaitwa E.SC and E.engKwani issue hapa ni nini? hata kama alisoma Env. science na kuwa utumishi walitaka Env. Engineer, si walipewa written akapasua? na akaitwa Oral akajibu vizuri ndo maana wakamchukua?
Environmental engineering is the integration of science and engineering principles to improve the natural environment, to provide healthy water, air, and land for human habitation and for other organisms, and to clean up pollution sites.[SUP][citation needed][/SUP] Environmental engineering can also be described as a branch of applied science and technology that address the issue of energy preservation, production asset and control of waste from human and animal activities.
hakuna tofauti kati ya E. SC and E. Eng.
Ukichunguza sna bata huwezi kumla..
Mwenzako akipata kaza buti na wewe upate na sio kuanza kuleteana majungu