KITUKO: Nimekojolewa na mtoto kwenye basi

alafu ukute mama yake hana mvuto, maana angekua na mvuto ana trako ungeomba namba kesho unamtafuta unamkojolea na yeye
 
Habari za Usiku Wadau,

Nipo kwenye bus mida hii natokea Dar naelekea Dom pembeni yangu yupo mdada mwenye mtoto mwenye kama miaka mitatu hivi.

Safari inaanza huyu mama nikampa hai hakuitikia kivile mi nikapotezea.

Tumefika maeneo ya kibaigwa huyu mwanae akawa kamlaza kidizaini fulani mtoto nikaona amelala vibaya na anaumia kiuno so nikaamua kutake trouble ya kumuinua na kumlaza kwangu huku akiegemea kwa mama yake na miguu kwangu.

Safari imeenda mara dogo akawa akijipindua pindua ghafla nikaanza kuhisi ubaridi kama maji vile nimemwagiwa kumtoa yalabi nimeloa mkojo mapajani kwenye suruali yaani ghazabu fasta ikanipanda ila nikachili nikamwambia huyu Dada mwanao kanikojolea!

Huyu Dada mwenye mtoto kuona hivyo akaanza kujibalaguza samahani kaka , only that!Akamchua mtoto wake na kumpakata hata hajambadilisha nguo.

Nimeboreka hapa wwe acha tu sema sina cha kufanya na huyo dogo anaonekana mkubwa so sijui kwa nini amenikojolea!

Ugentlemen leo umenitokea puani,Du hatari hapa nanuka kojo tu.Sometimes ndio maana naonaga baadhi ya abiria wanawekaga sula ya mbuzi kwa wamama wenye watoto kumbe huwa wanakimbia issue kama hizi.

Nashauri wamama wanaosafiri na watoto ambao hawana siti wachukue taadhari za usafi ikiwemo kuwavisha Diapers watoto wao ambao bado hawajajitambua na kuwa na zana za usafi kuepuka kero kwa abiria wenzao.

Nashukuru Mungu tunaingia Dom usiku kama ingekuwa mchana kidume sijui aibu ningeficha wapi.

Usiku mwema.

ARTICLE.

Kukojolewa na mtoto mbona ni ishu ndogo sana!! Hebu weka utu kidoogo isitoshe huyo mtoto ushasema ana miaka mitatu na alikuwa amelala. Hupaswi kulalama
 
Habari za Usiku Wadau,

Nipo kwenye bus mida hii natokea Dar naelekea Dom pembeni yangu yupo mdada mwenye mtoto mwenye kama miaka mitatu hivi.

Safari inaanza huyu mama nikampa hai hakuitikia kivile mi nikapotezea.

Tumefika maeneo ya kibaigwa huyu mwanae akawa kamlaza kidizaini fulani mtoto nikaona amelala vibaya na anaumia kiuno so nikaamua kutake trouble ya kumuinua na kumlaza kwangu huku akiegemea kwa mama yake na miguu kwangu.

Safari imeenda mara dogo akawa akijipindua pindua ghafla nikaanza kuhisi ubaridi kama maji vile nimemwagiwa kumtoa yalabi nimeloa mkojo mapajani kwenye suruali yaani ghazabu fasta ikanipanda ila nikachili nikamwambia huyu Dada mwanao kanikojolea!

Huyu Dada mwenye mtoto kuona hivyo akaanza kujibalaguza samahani kaka , only that!Akamchua mtoto wake na kumpakata hata hajambadilisha nguo.

Nimeboreka hapa wwe acha tu sema sina cha kufanya na huyo dogo anaonekana mkubwa so sijui kwa nini amenikojolea!

Ugentlemen leo umenitokea puani,Du hatari hapa nanuka kojo tu.Sometimes ndio maana naonaga baadhi ya abiria wanawekaga sula ya mbuzi kwa wamama wenye watoto kumbe huwa wanakimbia issue kama hizi.

Nashauri wamama wanaosafiri na watoto ambao hawana siti wachukue taadhari za usafi ikiwemo kuwavisha Diapers watoto wao ambao bado hawajajitambua na kuwa na zana za usafi kuepuka kero kwa abiria wenzao.

Nashukuru Mungu tunaingia Dom usiku kama ingekuwa mchana kidume sijui aibu ningeficha wapi.

Usiku mwema.

ARTICLE.
Ni mtoto tu huyo. Msamehe.

Bahati mbaya mtoto ana mama mlezi na siyo mama mzazi.

Wazazi wengi wamegeuka walezi na siyo wazazi tena
 
Mimi najiuliza kwa sauti, hivi huyo mama ana kosa gani kwenye haya yote?
1. We ndo ulimshobokea kumsalimia yeye akavunga
2. Ye alibeba mtoto wewe ndo ukakimbilia kumueka sawa na kuelekezea kengele ya mtoto upande wako.
Hivyo bas, yaeza kua hakumvisha mwanae pampers, but its your fault kuhangaika na mambo ya watu wengine.
Pole though, ukishuka shabiby, fasta rudi kama unaenda cbe hapo kwenye ofisi za allys znaangaliana na car wash. Piga maji then enjoy the city.
Ofcourse ni kosa langu but hata ungekuwa wewe kama una huruma na upendo usingeweza kumuacha mtoto katika hali ile wakati unaweza saidia.
 
Pole sana, kama wiki mbili zimepita nimemwagiwa uji jamani jitu limebebelea asubuhi uji halafu kasimama kifuniko kikatoka, jirani yangu mkaka chepe chepe mie sketi yangu daa, halafu anamuomba msamaha mwanaume mie kina toa jicho, basi sikumjibu tu
 
Habari za Usiku Wadau,

Nipo kwenye bus mida hii natokea Dar naelekea Dom pembeni yangu yupo mdada mwenye mtoto mwenye kama miaka mitatu hivi.

Safari inaanza huyu mama nikampa hai hakuitikia kivile mi nikapotezea.

Tumefika maeneo ya kibaigwa huyu mwanae akawa kamlaza kidizaini fulani mtoto nikaona amelala vibaya na anaumia kiuno so nikaamua kutake trouble ya kumuinua na kumlaza kwangu huku akiegemea kwa mama yake na miguu kwangu.

Safari imeenda mara dogo akawa akijipindua pindua ghafla nikaanza kuhisi ubaridi kama maji vile nimemwagiwa kumtoa yalabi nimeloa mkojo mapajani kwenye suruali yaani ghazabu fasta ikanipanda ila nikachili nikamwambia huyu Dada mwanao kanikojolea!

Huyu Dada mwenye mtoto kuona hivyo akaanza kujibalaguza samahani kaka , only that!Akamchua mtoto wake na kumpakata hata hajambadilisha nguo.

Nimeboreka hapa wwe acha tu sema sina cha kufanya na huyo dogo anaonekana mkubwa so sijui kwa nini amenikojolea!

Ugentlemen leo umenitokea puani,Du hatari hapa nanuka kojo tu.Sometimes ndio maana naonaga baadhi ya abiria wanawekaga sula ya mbuzi kwa wamama wenye watoto kumbe huwa wanakimbia issue kama hizi.

Nashauri wamama wanaosafiri na watoto ambao hawana siti wachukue taadhari za usafi ikiwemo kuwavisha Diapers watoto wao ambao bado hawajajitambua na kuwa na zana za usafi kuepuka kero kwa abiria wenzao.

Nashukuru Mungu tunaingia Dom usiku kama ingekuwa mchana kidume sijui aibu ningeficha wapi.

Usiku mwema.

ARTICLE.

Sio wewe mwenyewe umejikojolea article 🤣🤣🤣!?
Pole sana
 
Ofcourse ni kosa langu but hata ungekuwa wewe kama una huruma na upendo usingeweza kumuacha mtoto katika hali ile wakati unaweza saidia.
Your intentions are pure. Thats wassup.
Lakini mkuu, kwa dunia ya sasa im sure the best option ni ungemwambia mama yake kuwa mtoto anaumia n.k. then yeye angechukua hatua ya kudeal nae.
 
Habari za Usiku Wadau,

Nipo kwenye bus mida hii natokea Dar naelekea Dom pembeni yangu yupo mdada mwenye mtoto mwenye kama miaka mitatu hivi.

Safari inaanza huyu mama nikampa hai hakuitikia kivile mi nikapotezea.

Tumefika maeneo ya kibaigwa huyu mwanae akawa kamlaza kidizaini fulani mtoto nikaona amelala vibaya na anaumia kiuno so nikaamua kutake trouble ya kumuinua na kumlaza kwangu huku akiegemea kwa mama yake na miguu kwangu.

Safari imeenda mara dogo akawa akijipindua pindua ghafla nikaanza kuhisi ubaridi kama maji vile nimemwagiwa kumtoa yalabi nimeloa mkojo mapajani kwenye suruali yaani ghazabu fasta ikanipanda ila nikachili nikamwambia huyu Dada mwanao kanikojolea!

Huyu Dada mwenye mtoto kuona hivyo akaanza kujibalaguza samahani kaka , only that!Akamchua mtoto wake na kumpakata hata hajambadilisha nguo.

Nimeboreka hapa wwe acha tu sema sina cha kufanya na huyo dogo anaonekana mkubwa so sijui kwa nini amenikojolea!

Ugentlemen leo umenitokea puani,Du hatari hapa nanuka kojo tu.Sometimes ndio maana naonaga baadhi ya abiria wanawekaga sula ya mbuzi kwa wamama wenye watoto kumbe huwa wanakimbia issue kama hizi.

Nashauri wamama wanaosafiri na watoto ambao hawana siti wachukue taadhari za usafi ikiwemo kuwavisha Diapers watoto wao ambao bado hawajajitambua na kuwa na zana za usafi kuepuka kero kwa abiria wenzao.

Nashukuru Mungu tunaingia Dom usiku kama ingekuwa mchana kidume sijui aibu ningeficha wapi.

Usiku mwema.

ARTICLE.

Kusaidia mama mtoto kwa safari ndefu ni jambo jema; hayo mengine ni bahati mbaya!
Mimi nikisaidia mama mtoto nafarijika, kwani naona hata nimefanya kitu cha ziada badala ya kukaa tu
 
Sasa mkuu ulitaka mama wa watu afanyeje wakati sio kosa lake ni bahati mbaya tuu? We samehe songa mbele
 
Back
Top Bottom