Kituko/Majanga ilikuaje uliumbuka kwenye outing

Kituko/Majanga ilikuaje uliumbuka kwenye outing

View attachment 2519302
Jinsi muhudumu alivyomuangalia jamaa yetu aliposikia ana 24k badala 58k anazohitaji[emoji23][emoji23][emoji23].

Hotel ukiishaikuta ina watasha,itisha juice kwanza ili upime kina cha maji,halafu jenga tabia ya kutimba peke yako sehemu kama hizo kwanza kabla upeleke mtoto wa mtu.
Mimi mawazo yangu yote .....chakula elfu 10 jumla na juisi nikadhani 4 jumla
 
Nahisi wazungu walikucheka sana... Vipi ulikutwa na nini kijana? Lakini kwenye vikao tulikwisha kuongelea haya mambo ya outings na wanawake bila kujihami na backup ya ku cover extra costs za nje ya budjet au ulidoji kikao?
Iliisha kistaarabu tu uzuri..nilikuja kusongesha kama 30 na demu wangu ikabidi nimkope hela kama elfu 10.
 
Wangenunua mchele, kuku mzima na matunda ya kutosha ya juisi na maji ya kunywa. Baada ya kushiba ni kuchakatana tu [emoji3][emoji3][emoji3] na hamna gharama za gesti
Yule mwanamke wa kichaga alikuwa anapenda sana hela kinyama ....
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Watu mna ujasiri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom