Kituko kuhusu teja

inavyoonyesha haupiti mara kwa mara hapa. Hii ya kitambo kweli.

Zote kali, kama wewe ulishaona wengine ndo tunaona leo, No Hard Feelings.

ha ha ha, umetisha arifu, hii ni noma

hahaha! Nimecheka kuzkumbuka jokes hz hehe gud job translatin them though! Nlkuwaga na kitabu na zlkuwa na hz jokes umenikumbusha hehehe! Am talkn abt joke 2 n 3

Kahaba moja aliandaa tuzo,kijana yeyote wa kiume atakayefanya naye tendo la ndoa na kufikisha goli nane anampa tuzo,Wakajitokeza vijana wanne,wa kwanza akaanza kazi, alipofika goli la 3 akawa hoi,wa tatu akaingia,alipofika goli la nne akawa hajielewi kabisa,akaja kijana wa tatu,akaahangaika alipofikisha goli tano hali mbaya,akaja kijana wa nne na wa mwisho,akahangaika sana ila alipofikisha goli la 6 akawa yuko hoi na amechoka,............mara akatokea mzee moja aliyezeeka na bakora lake anakatiza njiani,wakamwambia kama kejeli,mzee kuna tuzo kama utafikisha goli nane basi utakuwa umetajirika,Mzee alicheka halafu akawaambia wampe chance,mzee akamfuata demu,akaanza kucheza mchezo mpaka akafikisha goli 11,mzee akawa amewafunika vijana,akapewa sabuni aende kuoga ili apewe tuzo,watu wakashangaa mzee anachelewa,wakamfuata bafuni wakashangaa kumkuta anapiga nyeto,akaulizwa tatizo nini?mzee akajibu hajaridhika kabisa.

Ahahahaaah!! Hii imefunika zote ulizotoa leo!

Mshikaji moja aliyejazia misuli kwa kupiga chuma na kuogopewa mtaani,alivunja sheria ya nchi na kupelekwa jela,ile mara ya kwanza alipofika jela akawakuta wafungwa wenzake,akaanza kuwatishia na kuwaambia,'''nasikia huku mna mchezo mchafu wa kuwachezea wanaume wenzenu kinyume na maumbile,sasa mtu alete ujinga kwangu aonje mauti''kwa hasira akapiga ngumi ukutani,akapiga tena ukuta kwa kichwa na kuzimia hapo hapo,ile anazinduka anakuta ameloanishwa nyuma.

ebwana hii ya bibi imetulia..tupa kingine mwanangu excellent tupate raha.

hii ya bibi ni mzuka niaje sema mkuu unaziunga juu kwaju kama vp kila moja ungeweka peke yake hivi inakua inajichanganya na comments so inakua ka daftari flan hivi la rafu...

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…