Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,973
- 831,534
Kwa karne hii kweli kwenye hadhira rasmi viongozi wanaruhusu huu ujinga?
Ni hofu?
Ni woga?
Ni matisho?
Ni mkwara ama ninini?
Wazee wa Paje wamejitokeza hadharani na kuchimba mkwara kwa yeyote anayekusudia kumdhuru mama na viongozi wengine. Wamejiapiza kumvimbisha mtu tumbo na kumtia chura ya tumbo
Kumbe uchawi bado una nafasi kubwa kwenye serikali zetu na bado viongozi wetu wanaamini ulinzi na malipizi ya kishirikina.
Sijui intelijensia ilikuwa wapi mpaka ikaruhusu haya yatokee