Kituko cha mwaka 2013

Huyu trafiki naye alitoa kituko...
 
Anajua jinsi hiyo idara inavyolipa.....
 
Aliiona fursa, akaaamua twende zetu

'kwa habari nilizopata tu ni kwamba jamaa alikuwa ni mfungwa wa gereza la butimba alifungwa miaka 30 akatumikia kifungo cha miaka kadhaa ikawa bado kidogo tu atoke yani amalize kifungo chake basi akatoroka wakajaribu kumsaka ikashindikana.

Sasa alivyokamatwa na jezi za polisi wa usalama barabarani kuna aakari mmoja wa magereza akawa amemkumbuka na akatoa report kwa wakubwa na akatambulika kuwa ni yeye hivyo imemlazimu kurudi jela kwanza akatumikie kifungo chake kwa kuwa alitoroka hivyo miaka yote inafutwa anaanza tena 30 na ukijumlisha na kesi ya kukutwa na nguo za serikali pamoja na kesi ya kutapeli na kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu sjui atakaa miaka mingapi,pole sana ndugu yetu'
 
Njia ya muongo fupi,mshiko aliopiga ulikuwa unatosha na kuanza kuangalia fursa nyingine,ona sasa kapotelea selo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…