Kituko cha katibu wa itikadi: Polepole atangaza neema kwa waliokosa mikopo

huyu naye sasa kupewa ukuu wa kitongoji na uenezi wa propaganda basi maneno mengi mwisho wa siku atapingana na kauli zake mwenyewe
na kwenye suala la mikopo atueleze atatumia njia gani kupata pesa ya kuwapa wanafunzi mikopo na siyo kufanya watawaliwa kama vile wajinga
 
Umesoma hiyo link?
 
Acha uzito mkuu kazi ya chama tawala n kuisimamia serikali iliyoundwa na iko chama itekeleze ilani (mkataba baina ya chama na wananchi) sasa kama ilani ya chama inaelekeza kwamba itakua ikitoa mikopo kwa wanafunz elimu ya juu hapo ndipo chama kinapopata mandate ya kuisukuma serikali itekeleze ndo key point ya pole pole

Sasa nyie timu pinzani cjui mnatumiaga akili gan ku reason??
 
kichwa cha habari si kinasanifu kilichondani
acha ujinga wewe tumia kichwa kufikiri

Mkuu hili ni jukwaa huru, ukipishana kauli na mtu siyo vyema kumtukana au kutumia maneno ya kashfa.

Nimekuuliza hivyo kwa sababu kilichoongelewa kwenye habari ni tofauti na unavyoweza kufukiria kwa kuangalia kichwa cha habari.

Hiki hapa kipande cha habari yenyewe:

Kuhusu watu wasioweza kujigharamia elimu hiyo na wamekosa mikopo, amewashauri kuahirisha masomo yao, ili wafanye kazi ambazo zitawasaidia kupata pesa na ndani ya mwaka mmoja ana uhakika watakuwa wamepata pesa zinazohitajika na kuendelea na masomo yao.

Polepole alitaja baadhi ya shughuli ambazo angewashauri wazifanye kuwa ni pamoja na kilimo huku akitolea mfano baadhi ya watu aliowashauri wajiingize kwenye kilimo cha matikiti na wakaufanyia kazi ushauri huo, ambapo baada ya muda wameona matunda yake.

"Waliokosa mikopo vyuo vikuu wanitafute, nitawaonesha cha kufanya, na wawe tayari kuahirisha masomo mwaka mmoja"
 
nisamehe kama nimekukwaza mtu wangu
 
Siku Hizi Anafanya Kazi Bodi Ya Mikopo Ya Elimu Ya Juu Ama InakuwA Vp ?
Waende kumwona wapate maelekezo kama alivyoelekeza wakamsikilize sidhani kama ni sahihi kupinga tu UkawA mnajua kuna tatizo la wanafunzi kukosa mikopo mna solution gani kwa hili ili wapate? Au kazi yenu ni porojo tu za kupinga? Hamna solution kazi yenu domokaya tu? Mkienda ulaya mnaomba tu pesa za chama hamuombei za kuwapa wanafunzi mikopo?
 
Back
Top Bottom