Kitufe cha PHP [wrap] kinatumika kwa wale ambao wana deal na programming/coding kwa lugha ya
PHP. The main reason ya kutumia hii feature ni kwamba kwenye PHP kuna lines za code ambazo ni muhimu kama mtu unataka maelekezo kuhusu tatizo. Mfano ninaweza nikaja na tatizo kama hivi:-
Itabidi niweke codes hapa ili wataalamu waiangalie then watoe solution. Codes zangu nitaziweka hizi ;
<?php
$uname = ($_POST['username']);
$pwd = ($_POST['nenosiri'])
if ($uname != 'Invisible'){
echo "You will be logged in, but not as Administrator";
}
else {
echo "Welcome Invisible"
}
?>
Sasa kwenye code kama hiyo mtu yoyote anayejua PHP anaweza kukusaidia. Lakini inahitaji extra effort kusaidiwa na code haieleweki vizuri. Huo mstari wa 10 unaweza hata usionekane! Na hapo ndipo kitufe cha PHP [wrap] kinapotumika: kuonesha numbers na PHP syntaxes. Sasa nikitumia hicho kitufe code inaonekana hivi:-
PHP:
<?php
$uname = ($_POST['username']);
$pwd = ($_POST['nenosiri'])
if ($uname != 'Invisible'){
echo "You will be logged in, but not as Administrator";
}
else {
echo "Welcome Invisible"
}
?>
Hapa sasa mtu anaweza akaniambia
na mimi nikienda kwenye code yangu nitaweka semi colon then script itaendelea sawa. I hope nimeweza kusaidia kiasi.
GIVENALITY