kitu soksi

kitu soksi

duu hzo inatakiwa uvae ukiwa urusi hapa bong ful fungus
 
sijaelewa hicho kikameruni...
 

Umenikumbusha Wakati Waandishi Wa Habari Miaka Kama 6 AU 7 Iliyopita Mmoja Wao Alipompiga Picha Aliyekuwa Mkuu Wa Benki Ya Dunia Bw. Paul Wolfitz Akiwa Amevaa Soksi Ambayo Ilikuwa Imetatuka AU Imechanika Kitu Kilichopelekea Aibu Kubwa Kwake Kama Rais AU Mkuu Wa Benki Ya Dunia na Kwa Benki Yenyewe Kulikopelekea Kampuni Ya Kutengeneza Soksi Nchini Marekani Kwa Hasira Kuamua Kumpa Seti Ya Soksi Mpya na Imara 365 Ikimaanisha Kwamba Kila Siku Atatakiwa Avae Soksi Mpya Na Anaitupa na Walijitolea Kumpa Soksi Mpya Kila Mwaka hadi Atakapofariki Dunia. Ama Kweli Ukistaajabu Ya Musa Utayaona Ya .............................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
usafi ni jambo la muhimu sana, hebu pata picha unaanguka (fainting) unapelekwa hospitali hujitambui, unavuliwa nguo za juu ndani wanakuta umevaa boksa chafu au iliyochanika, au soksi kama hizo watu watakuchukuliaje?
 
UwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiH ni shidaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah!
 
Back
Top Bottom