kitu seiko .

Marehemu baba angu alikuwa nayo, tulikuwa tunasikiliza mlio wake akiwa anarudi, alikuwa akipenda sana kuitingisha ili kutazama muda, kwa hiyo akitingisha tu tunasikia ule mlio wake kwa hiyo tunajua anakuja, tunajiaandaa kwa maswali ya shule! Hizo ndio zilikuwa saa!
 
hivi hazipatikani madukani hizi saa kwa sasa!!mimi nataka name niweke historia!!
 
Dooh za zamani sijui hata kama zipo madukani
 
Mafundi saa hawana dili, wanajifanya mafundi simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…