Kwa mwanaume haupaswi kukosa perfume moja kati ya hizi zifuatazo...
1. Aqua Di Gio - Giorgio Armani
2. Le Male - Jean Paul Gaultier
3. Dolce & Gabbana - D&G
4. Obsession For Men - Calvin Klein
5. 1 Million By Paco Rabanne
6. PI- Givenchy
7. 212 Carolina Herrera New York
8. Eternity - Calvin Klein
9. Polo By Ralph Lauren
10. Polo Black - Ralph Lauren
situmii hata moja hapo na bado ni mwanaume!anyway perfume ziko brand maelfu kwa maelfu na bado mamia kwa mamia zinaweza elezwa kuwa the best!nje ya list yako zipo kali nyingine
1.Issey Miyaki
2.Everyone
3.Pole Position
OOOOK, Sasa ndio naelewa kwa nini perfume zangu zilikuwa zinaisha mapema, ladies mh!
Namba 1 nzuri sana, mie pia naitumia... Haikeri imetulia..situmii hata moja hapo na bado ni mwanaume!anyway perfume ziko brand maelfu kwa maelfu na bado mamia kwa mamia zinaweza elezwa kuwa the best!nje ya list yako zipo kali nyingine
1.Issey Miyaki
2.Everyone
3.Pole Position
Namba 1 nzuri sana, mie pia naitumia... Haikeri imetulia..
@ Mr Rocky... Hapana bana hiyo imekaa kibaba/kizee labda kwako...lol...
Uwiii, kuanzia leo naacha kuitumia lol.hahahah Sl inawezekana kwangu mimi sijaipenda sana harufu yake au kwa vile alikuwa anaitumia mzee mmoja jirani yangu
Am good Mr Rocky , mie nipo sana tu! Wewe ndie ambae umepotea sana, afu sijui mmeambizana na swahiba TF manake yeye pia ameadimika kama jasho la kuku! Muwe mnaaga basi..SL habari yako bana
Umepotea kama shilingi ya mkoloni
Namba 1 nzuri sana, mie pia naitumia... Haikeri imetulia..
Namba 5 hapo kwa The Finest...hivi siku ile uliniambia Nitty anatumia ipi tena.....?
Namba 5 hapo kwa The Finest...
Hujambo bibie!
Hujambo bibie!
Hahaha! Umeniwahi manake nilitaka kukuuliza shemeji mtu chake huwa anatumia ipi?...lolhaa...basi atakuwa kamuiga Mtu Chake wangu....hata yeye ni hiyo hiyo...pamoja na #3.....Nitty kwa kuiga hajambo.....
Kwa sasa sina imani na perfume yoyote, labda ninunue Paris kwa wenyewe! Mimi nilikuwa mpenzi sana wa Eternity, Brut, Lomani. Lakini mwanzoni mwa miaka ya 2000, nilikutana na zilizochakachuliwa, yaani full KUNUKA! Siku hizi nanunua kwa machale sana HUGO BOSS, OPIUM na GIVENCHY!!
Unantisha bana... Najijua nilivyo na milundo ya makosa so hiyo 'halafu wewe' inaufanya moyo uende kasi.halafu wewe.....hebu ngoja kwanza nidial some digits.....
Shemegi, hizi mtaani kwetu, pamoja na nyenzao inaitwa Cobra ni za kupulizia maiti!mimi ni Yu na Yolanda....yeye ndio hizo......
Kwa mwanaume haupaswi kukosa perfume moja kati ya hizi zifuatazo...
1. Aqua Di Gio - Giorgio Armani
2. Le Male - Jean Paul Gaultier
3. Dolce & Gabbana - D&G
4. Obsession For Men - Calvin Klein
5. 1 Million By Paco Rabanne
6. PI- Givenchy
7. 212 Carolina Herrera New York
8. Eternity - Calvin Klein
9. Polo By Ralph Lauren
10. Polo Black - Ralph Lauren
Hahaha. PJ umeua, niliwahi kuhudhuria msiba mmoja sasa ile maiti ilikuwa inapuliziwa cobra kila saa, hiyo ikanifanya niichukie na kuiogopa sana cobra, hivi bado ipo? Manake enzi hizo nilikuwa bado mdogo...Shemegi, hizi mtaani kwetu, pamoja na nyenzao inaitwa Cobra ni za kupulizia maiti!
Hahaha. PJ umeua, niliwahi kuhudhuria msiba mmoja sasa ile maiti ilikuwa inapuliziwa cobra kila saa, hiyo ikanifanya niichukie na kuiogopa sana cobra, hivi bado ipo? Manake enzi hizo nilikuwa bado mdogo...
@ preta hutumii cobra yakhe lol.
Uwiii, kuanzia leo naacha kuitumia lol.
Am good Mr Rocky , mie nipo sana tu! Wewe ndie ambae umepotea sana, afu sijui mmeambizana na swahiba TF manake yeye pia ameadimika kama jasho la kuku! Muwe mnaaga basi..