Ni kweli.mume wangu huwa anapaka perfume flan nkiiskia tu basi namtani sana akiwa hayupo huwa napakaa mimi basi napata hisia kama yupo na mimi.
Duh. . . Farkina, ikitokea nimebahatisha perfume anayopaka nikajitokeza akiwa hayupo itakuwaje hapo? Patasomeka sio?
Duh. . . Farkina, ikitokea nimebahatisha perfume anayopaka nikajitokeza akiwa hayupo itakuwaje hapo? Patasomeka sio?
Duh, nadhani umenielewa
There is so much power in Perfume jamani, kuna moja nikiisikia barabarani naanza kumtafuta aliyepaka, japo nimtambue afu nione kama anafanana nayo.
Dah, pafyumu ina nguvu sana.
mi bebii yangu nikipuliza YU yangu tu...lazima tuchelewe job....just imagine....
ha ha ha, haswaaa kama mnakunwa na YU mfanyeje?
Afu kuna mmoja anantega ofisini sijui.
Kaanza kupaka Simla wakati mie hunipandisha maruhani.
Very true, perfume has that special thing if you know what I mean.
na inapendeza kidogo akipaka zile zenye hadhi ya kiume......dior homme,euphoria,fahrenheit....na nyinginezo....
Inanidatishaje mie?!
Full mzuka!
umehama kwenye Yu mara hii?
Haya majina magumu sana.