Kuna mlenda wa aina nyingi ambao umegawanyika katika makundi mawili artificial (man made) na natural.
Sasa huo anao kula mtoa mada ni artificial umetengenezwa na bamia.
Natural ule wa porini mfano mbura, majani ya mti wa ubuyu mdogo, mrenda pori upo kama mchicha hivi. All in all mlenda mboga nzuri.