Tuwe wakweli great thinkers hakuna sababu ya kutishana. Hili ni bomu la kutupa kwa mkono (hand granade) au kiswahili tunaita gruneti likiwa ni moja ya yaliyotumika kufanya shambulizi lililoua watu juzi pale Kenya. Bomu hili hilihalikulipuka, na kwa wanaolijua vyema ataona kwamba halikulipuka kwa sababu "fuse" yake haikuteguliwa baada ya kuchomoa "pin" kabla ya kulirusha. Ujue unapochomoa "pin" unatakiwa ulirushe mara moja ili lisije likakulipukia mkononi, hivyo aghalabu inakuwia vigumu kuthibitisha kama "fuse" itawasha baruti iliomo ndani ya bomu mara baada ya kuchomoa "pin".
Ndugu Hussein Njovu hongera kwa kutoa jibu la kisayansi na kuwaibisha wanasiasa uchwara walionza kutoa majibu ya kimasaburi against D. Cameron. Sijui hao jamaa wanadhani vita ni maongezi eee au ndiyo wale wa kwanza kukimbia nchi na kutuma maneno ya uchochzi kwenye mitandao ilihali hawapatwi na dhahama za ndani?? Shem on them
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.