Kitu kimetupwa mchana kweupee

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
grenade-inland-church.jpg
 
Kingetupwa uswahilini hata mpiga picha asingepata nafasi ya kuchukua hiyo pic.
 
Huku kwetu mbagala tunachezea rugby ni kampira kazuri tu, unataka nikuletee?
 
Tuwe wakweli great thinkers hakuna sababu ya kutishana. Hili ni bomu la kutupa kwa mkono (hand granade) au kiswahili tunaita gruneti likiwa ni moja ya yaliyotumika kufanya shambulizi lililoua watu juzi pale Kenya. Bomu hili hilihalikulipuka, na kwa wanaolijua vyema ataona kwamba halikulipuka kwa sababu "fuse" yake haikuteguliwa baada ya kuchomoa "pin" kabla ya kulirusha. Ujue unapochomoa "pin" unatakiwa ulirushe mara moja ili lisije likakulipukia mkononi, hivyo aghalabu inakuwia vigumu kuthibitisha kama "fuse" itawasha baruti iliomo ndani ya bomu mara baada ya kuchomoa "pin".
 
Ndugu Hussein Njovu hongera kwa kutoa jibu la kisayansi na kuwaibisha wanasiasa uchwara walionza kutoa majibu ya kimasaburi against D. Cameron. Sijui hao jamaa wanadhani vita ni maongezi eee au ndiyo wale wa kwanza kukimbia nchi na kutuma maneno ya uchochzi kwenye mitandao ilihali hawapatwi na dhahama za ndani?? Shem on them
 
Back
Top Bottom