Si ulikuwa utani tu? Hayo maneno ni ya kawaida sana kama yeye na mke wake wana mahusiano ya kirafiki, na pia kama wageni (mtoa mada) wana mahusiano ya kirafiki na mhanga. Ni kawaida kabisa utani wa namna hiyo. Kuna tatizo la msingi na hilo ndio la kushughulikia.

Mmh hayo maneno hata mimi sijayapenda si angemwambia wakiwa wawili.
kuna utani mwengine hua kidogo ni kuvuka mipaka, hata kama watu waliokuwepo wana mazoea lakini kumtania mwanamke kwa maneno kama hayo sio vizuri, kwa mfano kumwambia ananepeana, anapenda kula, anajaamba sana, anapenda chumvi, hapendi kuoga. Kwa manamke mwenye hasida za mara kwa mara atakasirika tu
Ni kweli, ila sasa huyo si umeshasikia kuwa anapenda kulia hata kwa vitu vingine kama mume wake kuchelewa kurudi home kidogo au kumsema kwa chochote. Kwa hiyo huyo ana ziada ya hisia, inatkiwa zitafutiwe namna ya kupunguzwa.
Mmh hayo maneno hata mimi sijayapenda si angemwambia wakiwa wawili.
Sasa mimba itamfanya aache kulia ama connection ya mimba na kilio iko wapi?
ni kweli mkuu lakini kwa uonavyo wew hio ndio sababu kubwa ya kulia au ni tabia yake tu.
Naona sababu ya huyo mwanamke kulia....
Hivi huyo rafiki yako alienda jando kweli?????
Jamaa yako ana maneno mabaya na anayatoa hovyo bila kushirikisha akili
Tena ana ghubu
Ataongeaje maneno ya hovyo hivyo mbele ya watu??
Mwambie ipo siku atakutana na mwanamke kauzu akili itamkaa sawa
mkuu ni kweli huyo wife anamapepo mshauri jamaa abadilishe kanisa coz hilo alilompeleka limeshindwa kuyatoa
mwambia jamaa kila anapolia amgegede,anamgegeda hivyo hivyo akilia aone kama mpaka mwisho wa gemu ataendelea kulia au atakata kiuno na kugunia utamu
jaman asa nini kinamliza.... mim sipendi kuishi na mtu mwenye manung'uniko