wiseboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 2,930
- 3,310
Hana haja ya kukunja samaki...................bora akamtupilie huko mbali
tunatofautiana kufanya maamuz, dah swala kama hili bado unasumbua button za keybod kuomba ushauri? heshima haiombwi.
Hana haja ya kukunja samaki...................bora akamtupilie huko mbali
Anasema alipitiwa, anaomba yaishe ... next time et she will be more consious ...
nashukuru Mungu yametokea kabla hujamfanya kuwa mkeo mim nimeoa ndoa haitoki kwenye misingi ya namna hiyo achana na mambo mengine yote sjui 071.... Na mengineyo ila wewe achana na huyo mwanamke ni ibilisi sugua goti omba Mungu atakuonesha mke mwema na pia tambua usilotaka kufanyiwa usimfanyie mwenzio.pole sana na tambua kutafuta mwenz ni mtihan
Co kwa wote! Mi ukinitenda nakusahau hata unilambe miguu! C rudiagi matapishi!
kwa uliyoyaandika nakufananisha na yule mwarabu wa dubai(tangazo la vodakom)NIPE SUTI TANO ZA GUCHI NA YALE MASHATI YA CHUICHUI.....Piga chini fasta, imeshawah kunitokea japo kwa style tofauti lakn nilichofanya naamini ulimwengu wa mapenzi ulitetemeka..................siupendi kabisa huo upuuzi!! Piga chini kwa kishindo cha ajabu sana, hayo ni matusi makubwa sana kwa mwanaume.......eti X wake??????? Hapa naandika nina hasira utafkr nakufahamu jinsi unavyojisikia.......................PIGA CHINI HARAKA huo ndio ushauri sahihi usihangaike na ma-ushauri mengine ya kipuuzi wewe mtoto wa kiume wewe!! UMENIELEWA???????????????????????????????????????????????????
... bize akiongea na simu kwa furaha huku akiaga, ...huku yeye akikataliwa kukata simu na mimi nikihitajika kuipokea simu! ...ananiambia huyo ni X wake, yule aliyemtoa usichana...... yeye X wangu alishanipiga marufuku na nikamtii kitambo
Anakurusha roho tu huyo,lakin na we shtuka ukiona manyoya ujue kaliwa