Pole sana kwa hayo yalokukuta, nakushauri uachane naye hakufai kabisaaaa,
Full stop
Pole sana kwa hayo yalokukuta, nakushauri uachane naye hakufai kabisaaaa,
Munisijo mimi nakushauri hili swali kamwulize kwanza Mtarajiwa wako akueleze maana ya yeye kukukataza usiwasiliane na Ex wako/zako ilhali yeye bado anawasiliana nae/nao. Majibu atakayokupa ndo uje utuulize hapa kama yanajenga au yanabomoa! Otherwise hapa tutakupa probabilities ambazo hazitokupa ukweli au mwandani wa moyo wa Mpenzio.
Kwani ulivyopokea simu x wake alikwambia nini mpaka uwe na wazo kwamba si kitu cha kawaida?
Ahahahahahaaaaaaaaaaa....the dealer umenichekesha mpaka mbavu sina
mfumo dume ni mfumo mbaya sana na unaonekana kum-nyanyasa sana mwanamke (kiumbe dhaifu au mwana-eva wa nyongeza)...ila in your whole living life dont ever even think of mfumo jike..huu ni mfumo ambao kiumbe dhaifu au mwana-eva au mwanamke anataka na kutetewa na ulimwengu woote kuwa-mmiliki na mtawala wa mwana-adamu.
Back to topic:- kijana huyo mtarajiwa wako anakuletea-mfumo jike wa kujifanya yupo open to you na kukukutanisha na the so called x-wake which in turn is your sown enemy..coz you were all fighting for a certain resource n that her....there will never b a friendship between a slave and a master..once beaten/defeated in the line of war your status turns to a slave...
Final cut...give her a last and serious warning n tell her to get back to her senses that you are living mfumo dume lifestle na sio mfumo jike...or accept mfumo jike and the next day u will find ur enemy undressing her pants on ur sofa couches.
Kuwa mwanaume wa kiumeni...sio mwanaume suruali.
Asa na wewee nini kujitia jaka moyo bure? Simu si yako wainyakua na kuanza mazungumzo? Wengine mnayatafutaga magonjwa ya moyo wenyewe!
Pole lakini.
Kaishaliwa huyo.
Ahahahahahahahahahahah..!Mkuu kula 0713 halafu potea.Mademu kama hao dawa yao umafia tu.
Munisijo mimi nakushauri hili swali kamwulize kwanza Mtarajiwa wako akueleze maana ya yeye kukukataza usiwasiliane na Ex wako/zako ilhali yeye bado anawasiliana nae/nao. Majibu atakayokupa ndo uje utuulize hapa kama yanajenga au yanabomoa! Otherwise hapa tutakupa probabilities ambazo hazitokupa ukweli au mwandani wa moyo wa Mpenzio.
Piga chini fasta, imeshawah kunitokea japo kwa style tofauti lakn nilichofanya naamini ulimwengu wa mapenzi ulitetemeka..................siupendi kabisa huo upuuzi!!
Piga chini kwa kishindo cha ajabu sana, hayo ni matusi makubwa sana kwa mwanaume.......eti X wake??????? Hapa naandika nina hasira utafkr nakufahamu jinsi unavyojisikia.......................PIGA CHINI HARAKA huo ndio ushauri sahihi usihangaike na ma-ushauri mengine ya kipuuzi wewe mtoto wa kiume wewe!!
UMENIELEWA???????????????????????????????????????????????????
tatizo hata mumshauri ataendelea kumng'ang'ania kisa ni mtarajiwa!!!
Hahhahahah. Thedealer umenikumbusha kisa fulani. Ila ninachoamini kama una mapenzi ya kweli na mtu na unamheshimu na kumjali basi utatumika busara zaidi. Maana kama wewe na yeye mnapendana na there's magic btn you, kumkomoa ni hasara kwenu sote. Wakati anakukwaza na kukutoa out of your comfort line (binadamu hukosea) hiyo ndio fursa ya kiasi cha mapenzi yako kwake kudhihirika. Sio mapenzi ya wakati wa raha tu bila changamoto yoyote.
Hapo c kawaida. Mwanamke kama bado ana mawasiliano na x wake tena aliyemtoa usichana ujue bado wanatumiana. Ni vigumu sn kwa wanawake kumsahau mwanaume aliyemtoa usichana, hata ufanyeje. Labda wawe mbali na kuwe hakuna mawasiliano.