Kitu hiki tafsiri yake ni nini??


Unaunda tume ya kuchunguza tatizo na huku unajua tatizo ni nini, kweli akili huathiriwa na mazingira!!
 
Kwani ulivyopokea simu x wake alikwambia nini mpaka uwe na wazo kwamba si kitu cha kawaida?


We unaona kitu cha kawaida..............mjini wanasema hujui kusoma lakn hata picha huoni
 

Duu mwanangu unaua kikatili...............we mjeda nini, manake naona hupepesi......yaani una mimina tu!!
 
Asa na wewee nini kujitia jaka moyo bure? Simu si yako wainyakua na kuanza mazungumzo? Wengine mnayatafutaga magonjwa ya moyo wenyewe!

Pole lakini.

Nini maana ya kupendana....tena na kuwa mwili mmoja.....au upendo una mipaka??
Believe me wapenzi wengi hawajui nini wanachokitaka katika mapenzi zaidi ya kungonoka basi!!!!
 
Ahahahahahahahahahahah..!Mkuu kula 0713 halafu potea.Mademu kama hao dawa yao umafia tu.
 
Kwani ulivyopokea simu x wake alikwambia nini mpaka uwe na wazo kwamba si kitu cha kawaida?

It was a ver normal salamu, short n' clear ... hakukua na stori ndefu!
 

Anasema alipitiwa, anaomba yaishe ... next time et she will be more consious ...
 
Huyo demu hana nidhamu kabisa na kicheche. Na kwa taarifa yako anakudharau sana mtarajiwa wako unayemheshimu huwezi kumfanyia hata siku moja. Kaka huna chako hapo piga chini kabla hujaumizwa roho zaidi. na kwa taarifa yako hiyo simu alipiga makusudi ili upate meseji aliyotaka kukufikishia. Tafakari chukua hatua before it is too late bro.
 
tatizo hata mumshauri ataendelea kumng'ang'ania kisa ni mtarajiwa!!!
 

Hahhahahah. Thedealer umenikumbusha kisa fulani. Ila ninachoamini kama una mapenzi ya kweli na mtu na unamheshimu na kumjali basi utatumika busara zaidi. Maana kama wewe na yeye mnapendana na there's magic btn you, kumkomoa ni hasara kwenu sote. Wakati anakukwaza na kukutoa out of your comfort line (binadamu hukosea) hiyo ndio fursa ya kiasi cha mapenzi yako kwake kudhihirika. Sio mapenzi ya wakati wa raha tu bila changamoto yoyote.
 
tatizo hata mumshauri ataendelea kumng'ang'ania kisa ni mtarajiwa!!!

Si kweli Nivea, since yesterday ... hiyo status ya 'utarajiwa' ilisha change ... kwa sasa nahitaji ushauri/sababu za kwanini nibaki, thus all! Hapa najiridhisha tu kuona kama maamuzi ninayokwenda kuchukua yapo sawa sana au la! Thanks anyway ....
 
Last edited by a moderator:

Thanks Menyous ...
 
Last edited by a moderator:
Hapo c kawaida. Mwanamke kama bado ana mawasiliano na x wake tena aliyemtoa usichana ujue bado wanatumiana. Ni vigumu sn kwa wanawake kumsahau mwanaume aliyemtoa usichana, hata ufanyeje. Labda wawe mbali na kuwe hakuna mawasiliano.

Co kwa wote! Mi ukinitenda nakusahau hata unilambe miguu! C rudiagi matapishi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…