Nawasalimu wote! Ndugu yenu yamenikuta, jana natoka kazini 'Mtarajiwa' kajitolea kuja kunipokea ... ni kweli, hapo hamna tatizo, changamoto inakuja hapa, navuka barabara namkuta yupo bize akiongea na simu kwa furaha huku akiaga, mi kufika nikamkumbatia na kumpa 'kabusu' kadogo (Mambo ya vijana) huku yeye akikataliwa kukata simu na mimi nikihitajika kuipokea simu! Kidume bila kujua kinachoendea nikapokea na kuanza mazungumzo! Ile kuanza kuongea tu ndo huku 'Mtarajiwa' ananiambia huyo ni X wake, yule aliyemtoa usichana....jamani, nifanyeje? Binafsi sijielewi coz yeye X wangu alishanipiga marufuku na nikamtii kitambo, now haya ndo yananitokea .... naombeni tafsiri ya tukio hili!!Ni kawaida au kuna kitu chini ya moyo?????

Hapo c kawaida. Mwanamke kama bado ana mawasiliano na x wake tena aliyemtoa usichana ujue bado wanatumiana. Ni vigumu sn kwa wanawake kumsahau mwanaume aliyemtoa usichana, hata ufanyeje. Labda wawe mbali na kuwe hakuna mawasiliano.
Asa na wewee nini kujitia jaka moyo bure? Simu si yako wainyakua na kuanza mazungumzo? Wengine mnayatafutaga magonjwa ya moyo wenyewe!
Pole lakini.
nimeelewa sawasawa?
Ina maana alikuwa anaongea na ex wake?
Then ex akamkataza kulata simu? (na yeye akatii????)
ex akaamuru upewe simu uongee??
Kama ni hivyo hiyo ni dharau ya hali ya juu....samaki mkunje angali mbichi...tafakari chukua hatua
Piga chini fasta, imeshawah kunitokea japo kwa style tofauti lakn nilichofanya naamini ulimwengu wa mapenzi ulitetemeka..................siupendi kabisa huo upuuzi!!
Piga chini kwa kishindo cha ajabu sana, hayo ni matusi makubwa sana kwa mwanaume.......eti X wake??????? Hapa naandika nina hasira utafkr nakufahamu jinsi unavyojisikia.......................PIGA CHINI HARAKA huo ndio ushauri sahihi usihangaike na ma-ushauri mengine ya kipuuzi wewe mtoto wa kiume wewe!!
UMENIELEWA???????????????????????????????????????????????????
Kuna sehemu inaonyesha aliinyakua hiyo simu?! Kasome upya.
Tujifunze kusoma kwa utulivu, unasoma kwa mihemko utadhani habari inakuhusu!!
Thx bro, nimekupata vilivyo ... ni kweli, nimezaraulika!
nimeelewa sawasawa?
Ina maana alikuwa anaongea na ex wake?
Then ex akamkataza kukata simu? (na yeye akatii????)
ex akaamuru upewe simu uongee??
Kama ni hivyo hiyo ni dharau ya hali ya juu....samaki mkunje angali mbichi...tafakari chukua hatua