Kitu hii yaweza kubanguliwa?

Kitu hii yaweza kubanguliwa?

hodogo

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
238
Reaction score
93
Wataalamu wa maujanja tafadhari nisaidieni kuibangua hii modem ya vodafone ili itumie line zote? Vodafone model K3570-Z
 
search JOIN AIR google thn idownload kisha fata maelekezo, iko simple! me na2mia io.. ukishindwa wataalam watakuja kukusaidia. Ila ungesearch kwanza humu jf, kuna threads kibao zinazungumzia io kitu.
 
Back
Top Bottom