englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Mhhh haya maradhi sasa!!
hahahaaaaa umenikumbusha miaka kadhaa iliyopita mkuu,hakika...Biashara ya kondoo ipo mkiani
Kama ni Gari sijui ingeitwa Hummer?
Mhhh haya maradhi sasa!!
Hapana yakhe inaitwa life style disease!!We we we weeee!!!! Koma kabisa. Siyo maradhi hayo bana, hizo zinaitwa NEEMA ZA ALLAH na sheick wetu. Teteteeee.
.....We we we weeee!!!! Koma kabisa. Siyo maradhi hayo bana, hizo zinaitwa NEEMA ZA ALLAH na sheick wetu. Teteteeee.
.....hapo chacha!!!kutafuna zigo dizain hiyo inataka mauzoefu sana.unaweza kuishia katika mashavu ukamaliza kila kitu loo.
ipi hio hebu nifumbue macho.........
.....haya mavitu yana rahayake bana!!!