Kitu gani umewahi kujiapiza hutofanya lakini mwishowe umefanya tena?

Nyeto bwana napigana nayo niiache lakini nashindwa mentor wangu Kila akianza kunipa darasa Huwa ananiambia "stop masturbating do it in reality" jamani nisaidieni zikipita siku nne bila Hiyo kitu mwili wangu unakuwa kama unaumwa na Nina wanawake kama wanne hivi...Yani imefika kipindi kabla sijamnyandua demu lazima nipigie kwanza nyeto

Kama ni kweli Aisee unapata tabu sana

Sent from my TECNO KI5k using JamiiForums mobile app
 
Kula kitimoto hili jambo kila siku najiapiza kuacha ila nishashindwa kila nikitoka lazima nipate rost nusu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom