Kitu gani kingine hukipendi

Kitu gani kingine hukipendi

"Konda msaada kiti moto".
Wana boaa.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Pale inapozima halafu tunaambiwa tushuke tukaisukume
 
Ile ndege aliyonunua bwana yule sipandi tena, maana haichelewi kupata pancha
 
Back
Top Bottom