Kitu gani kinafanya mama ampende mtoto wake?

Haujathibitisha kuwa ni kiroho, unachofanya ni defence mechanisms , logical fallacie na lengo la ad hominem tu.
sio wewe uliohoji nimejuaje??

nimekuelekeza namna ya kujua,hutaki kufanya ili ujue.

lalini pia nimekuuliza maswali hukujibu,je kila jambo linathibitishwa??achana na haya ya kiroho.
 
sio wewe uliohoji nimejuaje??

nimekuelekeza namna ya kujua,hutaki kufanya ili ujue.

2!lalini pia nimekuuliza maswali hukujibu,je kila jambo linathibitishwa??achana na haya ya kiroho.
Simple, Thibitisha uwepo wa kiroho , wewe umejuaje hiyo kiroho na ipoje kimuundo na nk , mfano akili inapimika unaweza ithibitisha kwa muundo huo.

Thibitisha kiroho na umejuje upendo wa mama kwa mtoto ni hio kiroho.

Thibitisha.
 
akili inapimika unawezapima kwa kutumia nini??unaweza kuthibitisha unazo akili kwa kutumia nini??

upendo wa mama kwa mtoto ni wa kiroho kwa sababu mtoto ametokana na mama yake,ana uhusiano naye kiroho.

Thibitisha kiroho , upendo wa mama umejuaje ni kiroho angali hata kiroho hauwezi ithibitisha ,? Hili umelitoa wapi?

Kwamba haujui kuna vipimo vya akili?
 
nimekwambia upendo wa mama kwa mtoto ni wa kiroho sababu mtoto ametokana na mama,labda swali liwe kivipi maana inaonekana hujui kama mtoto anazaliwa na mama yake.
Kwamba haujui kuna vipimo vya akili?
thibitisha kwamba una akili timamu kwa vipimo hivyo unavyovijua.
 
nimekwambia upendo wa mama kwa mtoto ni wa kiroho sababu mtoto ametokana na mama,labda swali liwe kivipi maana inaonekana hujui kama mtoto anazaliwa na mama yake.

thibitisha kwamba una akili timamu kwa vipimo hivyo unavyovijua.
Kiroho ndio kitu gani , Thibitisha kuwa kiroho ipo ? Kama haulewi swali unaweza potezea tu, hakuna mtihani hapa nataka kujua tu, hivyo kama hauwezi unapotezea tu waje manguli kujibu.
 
kiroho ni sawa na kiakili tu ni mambo yasiyo na uthibitisho ila kwa dalili zake peke yake.
hakuna nguli wa kukueleza kwanini mama yako akifariki unasikia maumivu ambayo yakipimwa hayaonekani popote ila yanaweza hata kusababisha mapigo ya moyo kusimama.

usijali si kila jambo ni lazima uelewa leo leo.
 
Una elimu gani mkuu?
 
Nakuuliza swali jingine unajibu kivingine , kama kiroho haithibitiki wewe umejuaje ipo ?
nimekuandikia huko juu kwamba si mambo yote yanathibitika kwa milango 5 ya fahamu,mengine tunayajua kwa dalili tu.

nikikwambia ndugu una huzuni,si kwa sababu kuna kiungo mwilini kimevimba au kinatoa damu.
 
Mie nadhan ni vile nature tu ilifanya vile ili kiumbe mdgo ambaye hana uwezo wa kujirinda kujilisha n.k apate kulindwa, akue bila bugudha.

Fikilia kama sio huo upendo unaosema kwa watoto wa viumbe na binadam, wakiachanizwa watauawa na baadh ya wanyama wangetoweka dunian.

Nature imeweka hvo ili kuprotect kizaz, haswa baba na mama ndo watalinda kizaz chao zaid kuliko cha mwingine.

Hakuna ulinzi bila upendo, lazima kitu ukipende kwanza ndo utakilinda.
 
nimekuandikia huko juu kwamba si mambo yote yanathibitika kwa milango 5 ya fahamu,mengine tunayajua kwa dalili tu.

nikikwambia ndugu una huzuni,si kwa sababu kuna kiungo mwilini kimevimba au kinatoa damu.
Watu wanaweza kuacha kuamini kiroho kwa sababu ya huzuni, hasira na akili iweje wewe usema ni mukatadha unaendana na kiroho?

Kwanini kiroho ikaitwa ni mambo ya kiimani na sio huzuni , hasira ama akili iweje wewe uyajumuishe pamoja ?
 
hapa sijakuelewa.fafanua.

hasira,huzuni,furaha hizi zote ni hisia,ambazo ni package za kiroho masta.
hizi hali zote haziamuliwi na vitu wala muda,isipokuwa una hali gani kifuani kwa wakati husika.
 
Hizo zote kisayansi zinapimika kwa kemikali za ubongo sio vitu vigeni kwa mtu msomaji wa sayansi , mimi nataka uthibitisho kiroho ? Kwanza maana ya kiroho ni nini?
 
Back
Top Bottom