Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 644
Kutembea uchi kwa kigezo cha kujifanya nimechanganyikiwa
Kusimama kwenye foleni zaidi ya masaa matatu kumpigia kura mtu fulani.
Nahisi nilirogwa!
- KANA -
Hata sikumbuki chochote mpaka leo acha tuu maisha haya ni kizungumkutihahhhah ney wewe ! kisa ilikua nini! hahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kusimama kwenye foleni zaidi ya masaa matatu kumpigia kura mtu fulani.
Nahisi nilirogwa!
- KANA -
Ulitembea uchi toka wapi mpaka wapi sweetheart?Kutembea uchi kwa kigezo cha kujifanya nimechanganyikiwa
Ulitembea uchi toka wapi mpaka wapi sweetheart?
- KANA -
Duh! Inasikitisha sana!Kutoka chumbani kwangu mpaka sebuleni sema bahati nzuri nilikuta mume wangu yupo pekeyake anaangalia mpira [emoji26]
Asanteh mpzDuh! Inasikitisha sana!
Pole mamy!
- KANA -
Hata sikumbuki chochote mpaka leo acha tuu maisha haya ni kizungumkuti
OK, kua makini.Asanteh mpz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]samahan ney nimechekaaaaa! haya bwana utahadithiaga! dah
Kutoka chumbani kwangu mpaka sebuleni sema bahati nzuri nilikuta mume wangu yupo pekeyake anaangalia mpira [emoji26]
Ni kweli best, sasahivi nipo makini sana aiseeh haya mambo ya dunia yasiniharibu akiliOK, kua makini.
Maana siku nyingine hiyo hali ikitokea mumeo anaweza kukubaka!
- KANA -
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baada ya hapo ukaenda kusimama mita 200 ukidai una linda kura yako isiibiwe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kusimama kwenye foleni zaidi ya masaa matatu kumpigia kura mtu fulani.
Nahisi nilirogwa!
- KANA -