Ha!ha!ha!leo kweli ni Ijumaa ya Furaha aisee JF Daima mbele.............
fikicha tena macho..Wadau mbona mm sioni hiyo makitu wajamenn.?!
nisaidie kuzoom hii..
Tyta nitakuzingua shauri yako
Huyu Zinduna huyu? Mwache tu siku nitaitoa hiyo laptop hapo
The woman in red,Kiongozi
Mimi huwa sina nidhamu ya uoga, mziki wowote napambana nao, utakaponiua ndio wewe mshindi tayari lakini kama bado nipo hai na wewe upo hai, patachimbika
He! nawe umetufanya tuizoom ndio tuone hayo.Mleta picha Je Paja lake la kulia, kaungua au ajali? naona kuna kovu