Kitu cha Mbegu - Karibuni!

Duh hio kitu tamu balaaaa, haina mfano acha CCM waseme maisha yamekuwa Bora aiseeeeeee. ukute hilo "harage" limewekwa (limetiwa nazi) huuuuuuu halafu mpioshi ni Mwanamke wa Ki-Tanga halafu awe bado hujamuoa ndio unaibaiba tu. Wee utaomba asiondoke kamwe. Huku una "Uono Bonge" kwa kando hapo mmmghh
 

Aiseee
 


Wali, Maharage na Kisamvu, wacha weee

Ila Maharage haya yanaonyesha hayaivi haraka, hayana hata rojo! inaelekea hawakutumia nazi kwenye kuunga
 
Jamaa yuko mwenyewe tu, inaonyesha saa nane mchana hiyo. Akitoka hapo anapandishia na maji ya mfuko na sigara sports, Bongo we acha tu.
 
maisha bora kwa kila mtanzania
 
Jamaa yuko mwenyewe tu, inaonyesha saa nane mchana hiyo. Akitoka hapo anapandishia na maji ya mfuko na sigara sports, Bongo we acha tu.
.nilinuna siku nzima,salamander we kiboko ha ha ha
 
Jamaa yuko mwenyewe tu, inaonyesha saa nane mchana hiyo. Akitoka hapo anapandishia na maji ya mfuko na sigara sports, Bongo we acha tu.
Angalia mguu upande wa kulia, na hapo kwenye mguu kuna tonge kadhaa zimeshachotwa
 
Dah maharagwe yamesimama dede kama karanga!!!!!!!!!!!!
 
Jamaa yuko mwenyewe tu, inaonyesha saa nane mchana hiyo. Akitoka hapo anapandishia na maji ya mfuko na sigara sports, Bongo we acha tu.
Hahahaaaaaaaaaaa,taifa la wananchi wasio na makuu lol!
 


Wali, Maharage na Kisamvu, wacha weee

Ila Maharage haya yanaonyesha hayaivi haraka, hayana hata rojo! inaelekea hawakutumia nazi kwenye kuunga
enzi ya shule ya boarding mara ya kwanza ni kama hupendi,baada ya kuzoea unaona kama mda wa msosi haufiki
 
Duh umenikumbusha mbali kuuona huo mse.ngele aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…