Sawa kabisa. Hizo nguo zenyewe tuliletewa badae sana ila hapo kabla watu walitembea uchi na bado walioana, uko kwa mswati watu bado wanavaa nusu nabado wanaoana tena inawezekana kukawa na wasichana mabikira wengi zaidi yasisi tunaojifanya tuna maadili yakuvaa gubigubi.Linapokuja swala lakuoa kila mtu ana choice yake.Sema wewe huoi usimsemee kila mtu
Sasa wewe ni mwanaume..?Sema wewe huoi usimsemee kila mtu
Utakuwa na gundu tu, kaoge maji ya baharini.Mbn wameolewa kibao na tu naona
Mm na migaun yang mpk saiv sijaolewa
Sawa kabisa. Hizo nguo zenyewe tuliletewa badae sana ila hapo kabla watu walitembea uchi na bado walioana, uko kwa mswati watu bado wanavaa nusu nabado wanaoana tena inawezekana kukawa na wasichana mabikira wengi zaidi yasisi tunaojifanya tuna maadili yakuvaa gubigubi.Linapokuja swala lakuoa kila mtu ana choice yake.
Msome huyo mwenzioSasa wewe ni mwanaume..?
Kwa kweli inataka moyo sana kuoa mvaa vimini,mtu anatangaza biashara nje nje alafu mimi nioe?!.Hilo linaeleweka sana tuu...
Teh teh kama mke wa gwajima halafu wanachepuka na maslay queens na wanawahonga hatare hahahahah[emoji126][emoji126][emoji126]tuvaeje ndo mtuoe sasa jamani!
Ahahaha shost wavaa kama Mama mchungajj nini?Mbn wameolewa kibao na tu naona
Mm na migaun yang mpk saiv sijaolewa
Ujue mwanamke atokaye naye anakusadifu ulivyo,so kama una mchepuko mtembea uchi hudhani ndivyo moyo wako upendavyo aina hiyo ya wanawake? hahahahahKitu ambacho hawataki kukubali hiki,
Alafu utakuta anajisifu ooh" natongozwa kila mtaa hadi kero sasa hivi wanaume mkoje"
Unatongozwa hovyo kwasababu unatamanisha watu tu kwa kutembea uchi lakini sio kwamba et we ni mzuri sana.
Mwanamke mwenye heshima zake hatongozwi hovyo kuna nidham yake katika kumfata, sio nyie mnaoparamiwa ovyo hadi na mateja.
Yani watembea uchi wote mtabaki tu kuwa michepuko a.k.a Kete na sio kuolewa labda mbadilike.
Mkuu, usisahau Amber Rutty ni mke wa mtu.Kitu Ambacho wanawake/wasichana hawajui ni kwamba, Wanaume hawaoi mtu alivaa nusu uchi/ au kuwa wazi hao wanakuwaga wa mpito tu. Kila mwanaume anatafuta mwanamke ambae atatulia nae na alietulia kichwani. Lakin mvaa vichupi,vimini,sijui bikini hawa hatuoi!!!!!
Naona unataka kujaribu kutetea wakaa uchi, soma hapo, nilikwambia kuwa aina hiyo ya wanawake sio kwamba watakosa wanaume, hasha, watapata ila kwa kutamaniwa na si kwa kupendwa kisa tu yupo uchi.Ujue mwanamke atokaye naye anakusadifu ulivyo,so kama una mchepuko mtembea uchi hudhani ndivyo moyo wako upendavyo aina hiyo ya wanawake? hahahahah
Mfano mtu kama zito hawezi kuwa na mchepuko kama gigy money ama ambarutty
Teh teh kama mke wa gwajima halafu wanachepuka na maslay queens na wanawahonga hatare hahahahah
Wake zao wanawafiacha hata kuongozana wanaona tabu,kama mke wa gwaji boy amejulikana baada ya mzee kukumbwa na skandali ila mwanzo alimficha teh teh
Utakuwa na gundu tu, kaoge maji ya baharini.
Ahahaha shost wavaa kama Mama mchungajj nini?